samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,265
Chai nayo iko sawa au badoNimeshatupaaaa shuka kule nipo machooo
Poa cha mdeko.....hope your going to have a very productive day with a lot of blessings!Morning Samuel mambo vip
Just wanted to say good morning to one of the person that means the world to me.Asubuhi njema Mwifwaa mwenye nyotaaaa yakeeeee
Dah hapa ilikuwa bado hapa 😀 😀 🙁 😀Kwako Mwifwa
Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.
Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.
Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.
Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.
Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.
Demiss (Cha mdeko)
Ndio mkuuDah hapa ilikuwa bado hapa 😀 😀 🙁 😀
Asubuhi njema na siku njemaSuccess comes to those who have the willpower to win over their snooze buttons. Wishing you an awesome morning.
Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakuja kwako ila taabu na shida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.Asubuhi njema na siku njema
[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mme wangu hahahahahha mm nakupenda mpaka naumwaaaaa