Na wewe pia uwe na Asubuhi njema na siku njema yenye baraka tele.Uzuni ,upole,ukarimu wanakusalimia. Furahana unyenyekevu wapo njiani wanakuja kwako ila taabu na shida hawatakuja kwasababu wote wanaumwa.
Mawazo mashaka na kukata tamaa wapo jela.
Ushindi utajiri na amani wapo njiani wanakuja
Uwe na asubuhi njema
Asubuhi imefika ni muda wa kujiandaa na pilika, lakini kazini ukifika usisahauNa wewe pia uwe na Asubuhi njema na siku njema yenye baraka tele.
Shikamooo my yum yum sisy[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]Nikutakie asubuhi njema Swahiba wangu wa nguvu ndani ya jf BAK uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri kwako.
Pole kwa yaliyokukuta kwa kula BAN [emoji12] ila kwa kuwa imeshapita zidi kusonga mbele.
Karibu tena. [emoji8]
Marhaba mdogo wangu nikupendaye. Habari ya huko, Shemeji hajambo?Shikamooo my yum yum sisy[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
Am humbled my lovely soul... Kci n Jojo tell me its realKatika maisha nimejifunza mambo mengi ikiwemo,. Kupendwa, kupenda, kusamehe, kuvumilia, lakini nimeshindwa kujifunza kukusahau wewe kwa sababu umekuwa ukinikumbuka sana..
Mme wangu Jr uwe na asubuhi njemaa wewe ndo mwanaume wa maisha yangu na hilo halina mpinzani.
Sijambo sheeMarhaba mdogo wangu nikupendaye. Habari ya huko, Shemeji hajambo?
Nafurahi kusikia uzima wako Bwana Shemeji. Uwe na siku njema zidi kumtunza mdogo wangu sababu Demiss wa sasa sio yule wa miezi mitatu iliyopita.Sijambo shee
Inshallah shemejiNafurahi kusikia uzima wako Bwana Shemeji. Uwe na siku njema zidi kumtunza mdogo wangu sababu Demiss wa sasa sio yule wa miezi mitatu iliyopita.
Hongera kwako Shemeji.
Nikutakie asubuhi njema Swahiba wangu wa nguvu ndani ya jf BAK uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri kwako.
Pole kwa yaliyokukuta kwa kula BAN [emoji12] ila kwa kuwa imeshapita zidi kusonga mbele.
Karibu tena. [emoji8]
Sawa nimekuelewa sana tu. Nadhani na wao wamekusoma na kukuelewa pia.Shukrani sana la azizi wangu. Kwenye mapambano ya Taifa letu dhidi ya hawa wahuni na genge lao kuna vikwazo mbali mbali ikiwemo humu pia.
Je, najutia nilichokifanya!? WALAA SIJUTII na nitakirudia wakati wowote kwani naamini JF ndiyo sehemu ambayo Watanzania wengi wana pata habari za kweli kuhusu yanayojiri nchini kuliko chombo kingine chochote kile cha habari.
Uwe na siku na kazi njema mrembo.
[emoji7][emoji7][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]
Pole sana kaka...Shukrani sana la azizi wangu. Kwenye mapambano ya Taifa letu dhidi ya hawa wahuni na genge lao kuna vikwazo mbali mbali ikiwemo humu pia.
Je, najutia nilichokifanya!? WALAA SIJUTII na nitakirudia wakati wowote kwani naamini JF ndiyo sehemu ambayo Watanzania wengi wana pata habari za kweli kuhusu yanayojiri nchini kuliko chombo kingine chochote kile cha habari.
Uwe na siku na kazi njema mrembo.
[emoji7][emoji7][emoji182][emoji182][emoji8][emoji8]
GOOD [emoji4] MORNING!Na wewe pia uwe na Asubuhi njema na siku njema yenye baraka tele.
[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]