Asubuhi njema mke ake Jr a.k.a Mrs TunguliHata kama ukinisusa sawa tu uwe na asubuhi njema.View attachment 722887
Naendelea kukataliwa ngoja niwe mpole tu[emoji19] [emoji19]Asubuhi njema rafiki kipenziii wa Malikia wa Ulozi tafasali mambo ya kusema nikufundishe ulozi mm sitaki tenaa ahhahahaha
Unataka umuengue Jolie Jolie nn¿
Wengi sanaUmekataliwa na nani?
Sawa naomba ID yake huku chumbaniBasi nikupe dada angu mzur mzur kama mm alafu atakufaa sana
Good morning mke ake Jr.Basi nikupe dada angu mzur mzur kama mm alafu atakufaa sana
Ebu mwambie Jr akupunguzie majukumu, sio kwa kuchelewa kujibu comment yangu kiasi hicho!![emoji15] [emoji15] [emoji15]Mambo kipenzi rafiki