Salama kabisa mdogo wangu nikupendaye. [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]Habari za asubuh dada angu kipenzi nikupendayeee kwa dhatiii[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji8]
Khaaaa wewe si umenikausha ukanifanya hiyo sku mpaka furaha yangu ipepeeee mbali nami kwann hukuja kuchungulia hapaaa uone mdogo wako nilivyo na furahaaaa angalia hapooo ilikuwa Tarehe ngapi labdaa nitakumbuka ilkuwa furaha ya nn?Daaaahh!!
Sikupata notification toka hiyo siku ndio maana sikuweza kujibu hii reply.
Nadhani kwa sasa unaweza kuja kinieleza ulikuwa na furaha gani!
Nikutakie Asubuhi njema, yenye upendo, ukarimu, baraka tele kwa mtu katika jamii inayokuzunguka.
Dada mm nipo mzimaaa jaman nisamehe kwa kukususaa si unajua mamno mengii mengi tunapishan hapa na paleeeSalama kabisa mdogo wangu nikupendaye. [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji7]
Ila umenisusa sana jamaani. Vp uko mzima wewe?
Nishatoa sababu ya kutoijibu hiyo reply yako.Khaaaa wewe si umenikausha ukanifanya hiyo sku mpaka furaha yangu ipepeeee mbali nami kwann hukuja kuchungulia hapaaa uone mdogo wako nilivyo na furahaaaa angalia hapooo ilikuwa Tatehe ngapj labdaa nitakumbuka ilkuwa furaha ya nn?
Uwe na asubuhi njemaaa vipi baridi lakini ?
Ewaaaaaaaah naomba ukumbuke siku ambayo uliniambia umekuja maeneo ya Makao Makuu nikakumbuka furaha ya mimi na wewe kumkimbia mwenzie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nishatoa sababu ya kutoijibu hiyo reply yako.
Ilikuwa ya tarehe 8 April, 2018.
Jee ulikuwa na furaha gani siku hiyo?
Hahahahahaaaaa.Ewaaaaaaaah naomba ukumbuke siku ambayo uliniambia umekuja maeneo ya Makao Makuu nikakumbuka furaha ya mimi na wewe kumkimbia mwenzie [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nilikuwa nimejiandaa mm na wewe kutoka nduki maana tulipanga huo mchezo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Baada ya wewe kutojibu nilkosaaa raha kabisaaa raha yangu ilikuwa tucheze gameeee letu
Usijali mdogo wangu nshakusamehe.Dada mm nipo mzimaaa jaman nisamehe kwa kukususaa si unajua mamno mengii mengi tunapishan hapa na paleee
Unajua hii week nilkuwa na mood ya hasira hasiraa ndo maana nilkuwa najitahid kujicontrol nisije haribu mamboo ila leo nipo oky dada angu.
Basiiii mwenzio nilkuwa na furaaha nikukumbushe nikirud [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni mwendo wa kukimbiana tu hakuna namnaHahahahahaaaaa.
Hujui kama uliniambia tumepishana?
Mimi wakati nakuja huku na wewe ukaondoka ukaenda nilipotoka mimi
Mmmmhhhh!! Ila kuna kitu juu ya hiyo furaha uliyokuwa nayo hujakiweka wazi.Basiiii mwenzio nilkuwa na furaaha nikukumbushe nikirud [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ni mwendo wa kukimbiana tu hakuna namna
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mwifwa tafadhali usije nikimbiaaa maana mwenzio [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Uwiiii nitakimbia mm mpaka UDOM
Wa aleykum salaam ndugu. Ahsante sana.asalam alaikum nawatakia asubui njema woote mliomo humu mwenyezmungu awalinde na mabalaa pamoja na husda za walimwenu aamin inshaalah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji445]Mmmmhhhh!! Ila kuna kitu juu ya hiyo furaha uliyokuwa nayo hujakiweka wazi.
Sawa mimi sitokukimbia ila wewe ushaonesha dalili zote za kunikimbia.
Ngoja niendelee kuvuta subira tu maana nikiswitch on naambiwa umeme umekatika, nikiulizia sababu sipati majibu ya kuridhisha
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji445]
Khaaaa Mwifwa hunipend weyeee mm naogopaa ujue kama vile unataka kunikimbiaaaa uwiiiiii jaman mambo gani haya sasa?
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]rafiki kipenzi wewe usjali siku yetu ya game imeshafika nitakufanyia suprise lakin bado najiandaaa na mbio [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]