Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Dada huu waraka nimeukopi halafu nimeubandika ukutani sebuleni kwetu tutakuwa tunausoma kila asubuhi[emoji5] [emoji5] [emoji5]
 
Mkuu Demiss pongezi nyingi kwako kwa kuanzisha huu uzi maalum kabisa wa kujuliana hali, binafsi nikiamka nakuwa nawaza kuingia humu na kuwatakia wadau asubuhi njema kisha mambo mengine yaendelee.
 
Mkuu Demiss pongezi nyingi kwako kwa kuanzisha huu uzi maalum kabisa wa kujuliana hali, binafsi nikiamka nakuwa nawaza kuingia humu na kuwatakia wadau asubuhi njema kisha mambo mengine yaendelee.
Tupo pamoja naamin Umepata sehemu Salama ya kumtakia umpendaye asubuhi njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…