Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

hearly nikutakie asubh njema iliojaa aman,upendo,furaha ,tabasamu na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako

Ni mm rafik yako uliyenifundisha Jf
amiiiinnn amiinnnn

asubuhi njema iwe na mfanano wa simuliza nzuri za bustani ya eden dhidi yako...siku nzima yaleo tabasamu lipate kutawala usoni mwako...mungu akuepushie Shari na hasadi zakidunia...barabara utakayopaswa kupita iliuweze kufikia ile dream come true...ipate kuwa nyoofu iliyotolewa vigingi maishani mwako...

tena siku iwe njema zaid iliyojaa mwangaza wenye Nuru njema kwako

have a nice day boss
 
Aaaaamin amin mtumish wa bwana

Ila usisahau yule binti anataka talaka yake
 
Wakuu mimi nilibanwa mno na majukumu nikachelewa kuingia humu,nawaomba niwatakie mchana mwema na siku njema pia kwa ujumla wake.
 
Na wewe pia mkuu

Uwe na mchana na pilika pilika. njema za kusaka tonge
 
Back
Top Bottom