Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nakupenda Achana na Asiyekupenda Morning to uuuuuu
Mm nakupenda Achana na Asiyekupenda Morning to uuuuuu
Morning Mwifwa bado Umelala tu umemkumbatia wifi ni time ya kwenda job
Utanichombeza pm bado sjui kutag mm bado mwanafunzi wako ujue nasubir wifi akizaliwa niandae sinia la pilauMorning Demiss
Nimeshaamuka kitambo tu, wifi yako bado hajazaliwa, nakumbatia mto Nile tu.
Jina langu unalikosea, weka w hapo mbele ya f. kama mimi nilivyoiweka kwenye hii quote
Nadhan ulitaka kuandika MWIFWA badala ya MWIFAAsante sana asubuhi njema kwako piah
Morning my dear. Habari ya Jumapili?Morning mamy?
iiiiiiiiiiiiiii! Hata jumapili watu wanafanya kazi?Morning Mwifa bado Umelala tu umemkumbatia wifi ni time ya kwenda job
Sawa usijaliUtanichombeza pm bado sjui kutag mm bado mwanafunzi wako ujue nasubir wifi akizaliwa niandae sinia la pilau
Na kwako pia Priceless soulAsbh njema,Deadbody,mwifwa,dimatteo,won_life
Usafi mkuu pia ni kaziiiiiiiiiiiiiiii! Hata jumapili watu wanafanya kazi?
Habari za Asubuhi Dada yangu[emoji137] [emoji137]Morning my dear. Habari ya Jumapili?