Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amiin. Ahsante sana Kaka. Be blessed.Na kwako pia. Mungu awe nawe katika kila jambo
Asante mkuu, nakutakia masomo mema huko DarAsubuhi njema mkuuuu
Dada huu waraka nimeukopi halafu nimeubandika ukutani sebuleni kwetu tutakuwa tunausoma kila asubuhi[emoji5] [emoji5] [emoji5]Emmy anamtakia asubuhi njema Shoga kidawa Mwalimu wa Emmy, Mshauri wa Emmy, Bondia wa Emmy [emoji85] yaani we ni balaa Numbisa mama wa kujifungia kwenye kumwagiana likes. Siku zote najivunia uwepo wako aisee.
Na bila kuwasahau Makaka, Maswahiba , Mabest friends , wadogo na madada zangu wapendwa.
Muwe na asubuhi njema Allah azidi kuwasimamia kila mnapokaa mjue Emmy hawezi kuwasahau kwenye Dua zake. [emoji7]
Nashukuru kiongozi,vipi uko salama lakini?Na kwako pia mkuu.
Mia mia!!
Mungu ni mwema mkuuNashukuru kiongozi,vipi uko salama lakini?
Amina mkuu,.ukawe na siku njema yenye baraka na amani.Mumu popote ulipo nakutakia asubuhi njema na siku yenye baraka tele.
Pili nawatakia wadau wote wa humu asubuhi njema na yenye mafanikio kede kede.
Na wewe pia mkuu[emoji120]Mumu popote ulipo nakutakia asubuhi njema na siku yenye baraka tele.
Pili nawatakia wadau wote wa humu asubuhi njema na yenye mafanikio kede kede.
Nakushukuru sana mkuu.Na wewe pia mkuu[emoji120]
Mkuu Demiss pongezi nyingi kwako kwa kuanzisha huu uzi maalum kabisa wa kujuliana hali, binafsi nikiamka nakuwa nawaza kuingia humu na kuwatakia wadau asubuhi njema kisha mambo mengine yaendelee.Kwako Mwifa
Wewe rafiki yangu wa ukweli kwenye shida na raha Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa baraka tele na upendo mwingi.
Nakuombea uianze siku yako vema Ukiwa umejaa furaha tele .
Unajua Jinsi ninavyokumiss asubuhi nikiingia hapa Jf nikakosa hata notification yako.
Nakuombea uendelee na moyo huo huo rafiki yangu wa pekee wa hapa Jf.
Nikutakie asubuhi njema iliyojaaa amani, upendo, furaha, faraja, tabasamu, na kila aina ya vipepeo wanaopepea na maua mazuri kuipendezesha asubuhi yako.
Ni mm rafiki yako uliyenifundisha Jf.
Demiss (Cha mdeko)
[emoji2] [emoji2]Huu uzi kuna mtu litaibiwa soon
Tupo pamoja naamin Umepata sehemu Salama ya kumtakia umpendaye asubuhi njemaMkuu Demiss pongezi nyingi kwako kwa kuanzisha huu uzi maalum kabisa wa kujuliana hali, binafsi nikiamka nakuwa nawaza kuingia humu na kuwatakia wadau asubuhi njema kisha mambo mengine yaendelee.
Ha ha ha ha lisemwalo lipo mkuu,hebu ninong'oneze unafikiri nani atabebwa?Huu uzi kuna mtu litaibiwa soon
HaswaaaTupo pamoja naamin Umepata sehemu Salama ya kumtakia umpendaye asubuhi njema
Tulia mkuuHa ha ha ha lisemwalo lipo mkuu,hebu ninong'eze unafikiri nani atabebwa?