Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Uzi maalumu: Mtakie asubuhi njema umpendaye hapa JF na kumpa baraka za kuanza siku njema

Hajar rafiki yangu nakutakia asubuhi njema, ngoja mimi nilale sasa
Wacha weeeee!

Ahsante sana rafiki wa kweli nawe pia uwe na asubuhi njema yenye kila la kheri. Zidi kubarikiwa rafiki.

[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom