Uzi maalumu: Tuelezee leo mood yako ikoje, Unajisikiaje?

Uzi maalumu: Tuelezee leo mood yako ikoje, Unajisikiaje?

Kati kwa kati si mgonjwa wa kulala ,wala mzima wa kutembea.
 
Leo najisikia nyege zimenibana mwili mzima...... I wanna feel someone's honey pot.
 
Leo nina bad day jamani, acha tuu...kuna mtu aliondoka na simu yangu, tangia asubuhi...kaitia kwenye buti la gari na mizigo yake, kumpigia namba yake sina...yaani mpaka amefika kwake, katoa mizigo ndio kaiona simu.
Namba yake sikua nayo, simu yangu ilikiwa kwenye vibrations, na nilikuwa na mizigo kibao ya kutuma mkoa.
Finally nimeipata simu...hapa naenda nyumbani naizima nalala.
Nimepoteza pesa
Nimepoteza imani kwa wateja
Nimepoteza muda..
Nimepoteza...
 
Feel like getting a beer .ntatoa mrejesho hapo baadae.
 
Leo nina bad day jamani, acha tuu...kuna mtu aliondoka na simu yangu, tangia asubuhi...kaitia kwenye buti la gari na mizigo yake, kumpigia namba yake sina...yaani mpaka amefika kwake, katoa mizigo ndio kaiona simu.
Namba yake sikua nayo, simu yangu ilikiwa kwenye vibrations, na nilikuwa na mizigo kibao ya kutuma mkoa.
Finally nimeipata simu...hapa naenda nyumbani naizima nalala.
Nimepoteza pesa
Nimepoteza imani kwa wateja
Nimepoteza muda..
Nimepoteza...
Ohooo! Pole saana mwaya... Waeleweshe wateja wako wataelewa tu.
 
Najisikia kuvunjavunja lain ya mtanadao y!,
Nimeweka vocha nijiunge bado la kifurushi kumbe hiyo huduma wameshaiondoa na wamepandisha garama mara mbili zaidi, nimekwazika sana
 
Back
Top Bottom