nessonlegend
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 1,698
- 1,512
Ifinja fihano, namaanisha miaka mi5. Uchaguzi ulifanyika 2012, hesabu kuanzia 13-17.
Kulingana na Katiba,uchaguzi unafaa kufanyika baada ya miaka 5. Uchaguzi uliopita ulifaa kufanyika August 2012 Lakini mahakama ikaisongeza kwa miezi sita hadi March2013. Nimesahau sababu ya mahakama kufanya hivyo.Hii ni kumaanisha Uhuru Kenyatta amekaa uongozini kwa miaka minne na nusu.Kwani uhuru ameingia mwaka gani? Au uchafuzi uliopita ulifanyika mwaka gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je na kama the deadly Jimmy Wanjigi amehusika pengine wakihitaji wapate hizo codes ili ma hackers wapate access ya IEBC servers....hiki kifo kinaweza kua ni Nasa au Jubilee...Hakika Msando ameuliwa kwa sababu ya msimamo wake thabiti wa kutopindua matokeo kwa namna yoyote ile. Uhuru na Ruto wanahusika kwa 101%.
Ifinja fihano, namaanisha miaka mi5. Uchaguzi ulifanyika 2012, hesabu kuanzia 13-17.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi hali ilivyo Jubilee ndio waliomuua Musonda kwa masilahi yao binafsi.Je na kama the deadly Jimmy Wanjigi amehusika pengine wakihitaji wapate hizo codes ili ma hackers wapate access ya IEBC servers....hiki kifo kinaweza kua ni Nasa au Jubilee...
Ulitakiwa ufanyike 2012 lakini ukasogezwa hadi mwanzoni mwa 2013 ili kupisha mabadiliko ya katiba...officially ulipaswa kufanyika mwaka 2012...huu ndio mwaka unaotambulika kikatiba.Uchaguzi ulifanyika 2013 bana...
Agwambo huwa ndio mshindi mara zote lakini hufanyiwa zengwe na Wakikuyu,Wakikuyu wanahofia biashara zao na kupoteza nguvu za kiuchumi,pia Wakikuyu ndio wameshika sehemu nyeti za ulinzi na usalama,mimi naamini kama uchaguzi utakuwa wa haki(sitegemei) Agwambo atashinda lakini kwa hawa jamaa waliopo madarakani hivi sasa sidhani kama wataruhusu Agwambo ashinde,nadhani umeona kilichompata marehemu Msando,alidai kwamba safari hii hakuna kuvuruga system labda wakate kiganja chake,na jamaa kweli wamekata kiganja chake,na pia wamevamia na kuharibu kituo cha kuhesabia kura cha mlengo wa NASA,Amolo ni raisi wa Kenya ambaye hakai Ikulu.Ukimuuliza Mkikuyu kwanini hawezi kumchagua Amolo pamoja na UhuRuto kuonyesha kutowajali masikini pia kuongezeka kwa ufisadi ,utawasikia ah hatuwezi tu kumchagua Raila kisa ni Mjaluo.Kenya ukabila ni kama laana waliyolaaniwa nayo kizazi kwa kizaziWakati Tanganyika ikiadhimisha sikukuu ya wakulima mnamo tarehe 08/08/2017, wakenya watakuwa wakipigana vikumbo kwenye mistari mirefu wakimchagua rais wao atakayewaongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5 ijayo. Wagombea wawili wanaotarajia kuchuana vikali kwenye uchaguzi huu ni Rais anayemaliza muhura wake wa kwanza, Uhuru Kenyatta na mgombea wa muungano wa NASA, Agwambo Raila Amolo Odinga (mjaluo), ambaye safari hii anaungwa mkono na wakenya katika Kenya nzima bila kuzingatia ukabila. Wakati Uhuru (mkikuyu) na mgombea mwenza wake, Ruto (mkalenjin) wakijikita kwenye siasa za ukabila, Odinga ameazimia kuwaunganisha wakenya wote na kuachana na siasa za kikabila.
Uchaguzi uliopita ulishuhudia viongozi wakichaguliwa kwa misingi ya kikabila hivyo kupelekea mgawanyiko mkubwa miongoni mwa wakenya. Hii ilipelekea Uhuru ambaye anatoka kwenye kabila la wakikuyu katikati mwa Kenya akitumia kete ya kabila lake (Kikuyu is the largest single tribe in Kenya) na Ruto akitumia kete ya ukalenjini, kuibuka washindi na kuchaguliwa kuingia madarakani. Wakelenjini ni mkusanyiko wa makabila mengi ambayo yanakaa katika jimbo la Rift Valley, ambalo ni kubwa kuliko majimbo yote nchini Kenya).
Safari hii Raila na kundi lake wameacha siasa za ukabila na badala yake wamejikita kuwaunganisha wakenya wote bila kujali ukabila wao. Kura za maoni zilizopigwa hivi majuzi zimeonesha kwamba Odinga anaongoza kwa asilimia kubwa dhidi ya Kenyatta na kundi lake la kikabila.
Katika uchaguzi huu mimi natupia kete yangu kwa Agwambo Raila Amolo Odinga. Hii ni kwa sababu serikali ya Kenya chini ya Uhuru Kenyatta imeingia katika kashfa ya kihistoria kwa kumuua CHRIS MUSANDO , Mkurugenzi wa IT wa tume ya uchaguzi ya Kenya (IEBC). Wananchi wamechukizwa sana na kitendo hiki na wameapa kutowarudisha madarakani wauaji hawa. Je, wewe kete yako unaitupia kwa nani na kwa nini? Toa maonai yako hapa.
Kama waliweza kuwazima mashahidi wa ICC na kushinda kesi kwa kukosa ushahidi sembuse Musando,kosa la Musando ni kujipiga kifua mbele ya halaiki ,lakini pia nadhani alijua kuwa atauawawa na ndio maana akaona atoe dukuduku lake kwani alikuwa ametishwa mara nyingi na hata alipotoa taarifa polisi,polisi hawakuchukua hatua zozote nadhani ndio maana jamaa akaamua kumwaga mboga hadharaniHakika Msando ameuliwa kwa sababu ya msimamo wake thabiti wa kutopindua matokeo kwa namna yoyote ile. Uhuru na Ruto wanahusika kwa 101%.
Kosa alilofanya mzee Odinga (marehemu) ni kumwachia mzee kenyata kushika urais wa nchi kisa alikua gerezani,ikumbukwe kuwa wakoloni walimkabidhi mzee Odinga nchi na yeye kamkabidhi nyang'au,hii dhambi itawatesa waluo daima.Agwambo huwa ndio mshindi mara zote lakini hufanyiwa zengwe na Wakikuyu,Wakikuyu wanahofia biashara zao na kupoteza nguvu za kiuchumi,pia Wakikuyu ndio wameshika sehemu nyeti za ulinzi na usalama,mimi naamini kama uchaguzi utakuwa wa haki(sitegemei) Agwambo atashinda lakini kwa hawa jamaa waliopo madarakani hivi sasa sidhani kama wataruhusu Agwambo ashinde,nadhani umeona kilichompata marehemu Msando,alidai kwamba safari hii hakuna kuvuruga system labda wakate kiganja chake,na jamaa kweli wamekata kiganja chake,na pia wamevamia na kuharibu kituo cha kuhesabia kura cha mlengo wa NASA,Amolo ni raisi wa Kenya ambaye hakai Ikulu.Ukimuuliza Mkikuyu kwanini hawezi kumchagua Amolo pamoja na UhuRuto kuonyesha kutowajali masikini pia kuongezeka kwa ufisadi ,utawasikia ah hatuwezi tu kumchagua Raila kisa ni Mjaluo.Kenya ukabila ni kama laana waliyolaaniwa nayo kizazi kwa kizazi
Wakati Tanganyika ikiadhimisha sikukuu ya wakulima mnamo tarehe 08/08/2017, wakenya watakuwa wakipigana vikumbo kwenye mistari mirefu wakimchagua rais wao atakayewaongoza kwa kipindi kingine cha miaka 5 ijayo. Wagombea wawili wanaotarajia kuchuana vikali kwenye uchaguzi huu ni Rais anayemaliza muhura wake wa kwanza, Uhuru Kenyatta na mgombea wa muungano wa NASA, Agwambo Raila Amolo Odinga (mjaluo), ambaye safari hii anaungwa mkono na wakenya katika Kenya nzima bila kuzingatia ukabila. Wakati Uhuru (mkikuyu) na mgombea mwenza wake, Ruto (mkalenjin) wakijikita kwenye siasa za ukabila, Odinga ameazimia kuwaunganisha wakenya wote na kuachana na siasa za kikabila.