Uzi maalumu: Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017

Uzi maalumu: Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017

Raisi Uhuru Kenya, muda wako wa kutawala nchi ya Kenya umeshawadia na kuanzia kesho anza kujitayarisha kumkabidhi Mfalme wa Jaluo Raila Odinga nchi, na haijalishi matokeo ya kura yatakuwaje, Muzungu ameamua kuwa Raila Odinga ndo Raisi ajaye wa Kenya, na haitajalisha kama utashinda kwa kura (ambapo binafsi naamini utashinda) au la, mimi mchango wangu kama Raila akija kujiapisha hapa Dar nitamfurumusha, kwa namna moja au nyingine yaani nitapaza sauti yangu hata kama haitasikika!

Poleni Wakenya, ...

unnamed%2B%2814%29.jpg
 
Haiwezekani,kama Uhuru akishinda kihalali hakuna atakaepinga matokeo,tatizo lipo endapo atashinda kimagumashi.RIP Msando hakika damu yako haitapotea bure.

Na hapo ndipo tatizo lilipo, kushinda kihalali ni relative, hakuna uchaguzi Dunia hii uliokamilika kwa 100%, hivyo ile tu watu wa Raila kuanza kulia kuibiwa kura tangu karibia miaka 2 kabla ya uchaguzi inaonyesha jinsi gani walivyojiandaa kukataa matokeo!
 
Raisi Uhuru Kenya, muda wako wa kutawala nchi ya Kenya umeshawadia na kuanzia kesho anza kujitayarisha kumkabidhi Mfalme wa Jaluo Raila Odinga nchi, na haijalishi matokeo ya kura yatakuwaje, Muzungu ameamua kuwa Raila Odinga ndo Raisi ajaye wa Kenya, na haitajalisha kama utashinda kwa kura (ambapo binafsi naamini utashinda) au la, mimi mchango wangu kama Raila akija kujiapisha hapa Dar nitamfurumusha, kwa namna moja au nyingine yaani nitapaza sauti yangu hata kama haitasikika!

Poleni Wakenya, ...

vipi 2020 Mzungu awasimike UKAWA??
 
vipi 2020 Mzungu awasimike UKAWA??

Kwa bahati nzuri Muzungu hana mpango wala maslahi na TZ yetu, hivyo hakuna kitu kama hicho, vinginevyo tayari sasa hivi nchi yetu ingeshazingirwa na kwa maana chadema wanashinda Ofisi za Mabolozi wa Kizungu kuichiongea nchi yetu, Sefu kazunguka Ulaya nzima katoa ma-lecture kwa Muzungu mpaka miguu imevimba lkn matokeo ni sifuri!
 
Odinga na Magufuli Chato au Kisumu.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom