Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Raisi Uhuru Kenya, muda wako wa kutawala nchi ya Kenya umeshawadia na kuanzia kesho anza kujitayarisha kumkabidhi Mfalme wa Jaluo Raila Odinga nchi, na haijalishi matokeo ya kura yatakuwaje, Muzungu ameamua kuwa Raila Odinga ndo Raisi ajaye wa Kenya, na haitajalisha kama utashinda kwa kura (ambapo binafsi naamini utashinda) au la, mimi mchango wangu kama Raila akija kujiapisha hapa Dar nitamfurumusha, kwa namna moja au nyingine yaani nitapaza sauti yangu hata kama haitasikika!
Poleni Wakenya, ...
Poleni Wakenya, ...