Uzi maalumu: Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017

Pole yake raila hiyo nchi ilisha,ondolewa kwenye makucha ya wazungu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru kabanwa sana,sasa hivi anaongea na taifa eti.Anapiga campeni kijanja.
 
Mimi nimeacha uwanja wazi ili wadau mjimwage, sijaegemea kwa Uhuru wala kwa Agwambo.
 
Barbarosa. Kubali tu wewe huwezi elewa siasa za Kenya kama vile Wakenya wanaielewa. This time hakuna rigging. I repeat again HAKUNA RIGGING. kwa hivyo serikali haiwezi iba kura. Kama Uhuru atashinda atashinda clean. Kama Raila atashinda atashinda clean. Hakuna anayejua mshindi ata Mimi mwenyewe sijui.
 


Ni kweli labda kutakuwa hakuna rigging lkn matokeo pekee ambayo Raila Odinga atayakubali ni yale ambayo yatamtanganza mshindi kinyume na hapo hawezi kukubali!
 
Washaanza Mizengwe kuna Watu ka 300 wana hati hati ya kutopiga Kura hapo Kesho huko Kisumu majina yao hayasomi kwenye mtandao....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimeacha uwanja wazi ili wadau mjimwage, sijaegemea kwa Uhuru wala kwa Agwambo.
Ati ujaegemea upande wowote? Hebu soma ulichoandika hapo kuhusu hawa watu wawili, na ukome mzaha.
 
Tznians mko clueless about such issues , mjielemishe kiasi
huyo mzungu john kerry ni poll observer wamekuja kushuhudia uchaguzi wa kenya.
Former US Secretary of State John Kerry is leading a delegation of international observers from Carter Centre




pia African Union , Commonwealth, IGAD na European Union wametuma observers kushuhudia uchaguzi
rais mstaafu wa South Africa Thabo Mbeki anaongoza observers kutoka African Union
rais mstaafu wa Ghana John Mahama anaongoza observers kutoka common wealth

 
Wakenya Hawamhitaji Huyo Kibaraka Wa Wazungu Raila.Mapema Mno Kenyata Anashnda Asubuhi Kabla Ya Saa4 Asubuh
Kweli miafrika ndivyo tulivyo, wewe uko kwenu uko kibiti umefichama kukimbia polisi halafu unapost ati asubui tu laila kashindwa ujue wakenya wanakuona na kukulaani

S
 
Ni kweli labda kutakuwa hakuma rigging lkn matokeo pekee ambayo Raila Odinga atayakubali ni yale ambayo yatamtanganza mshindi kinyume na hapo hawezi kukubali!
Na Uhuru akishindwa anaeza kubali? Nyinyi Watanzania mko afadhali kwani rais aliye mamlakani akishindwa basi anatoka na kwenda zake. Uhuru akishinda ni sawa lakini akishindwa wafuasi wake sioni wakikubali. Wafuasi wa Jubilee ni fanatics kama wa Nasa. Wewe huwajui
 


Na hpo ndipo shida kubwa ilipo, TRUST, hakuna trust sasa itakuwaje? Ni kama vile uwe na girlfriend ambaye haumuamini, unawezaje kuishi naye kwa amani?
 
Na hpo ndipo shida kubwa ilipo, TRUST, hakuna trust sasa itakuwaje? Ni kama vile uwe na girlfriend ambaye haumuamini, unawezaje kuishi naye kwa amani?
Ndio nakubaliana nawe hakuna trust. Shida ya Kenya ni Kabila mbili wakikuyu na wajaluo. Sitasema zaidi ya hapo. Ningekufunza mengi kuhusu siasa ya Kenya lakini hii ni social media..si mahali pazuri sana kuongea kuhusu mambo mengine.
 
Rigging huwezi kuwa na uhakika haitokuwepo sababu Musando ameuliwa wauaji hawajapatikana na haujui wamechukua nini toka kwake, therefore usiandike as if una uhakika asilimia mia
 
Ndio nakubaliana nawe hakuna trust. Shida ya Kenya ni Kabila mbili wakikuyu na wajaluo. Sitasema zaidi ya hapo. Ningekufunza mengi kuhusu siasa ya Kenya lakini hii ni social media..si mahali pazuri sana kuongea kuhusu mambo mengine.
Wewe ongea bhana, kwani shida iko nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…