Uzi maalumu: Uchaguzi mkuu wa Kenya mwaka 2017

Ogopa sana mgombea urais katika nchi za anayepigiwa chapuo na UK na US.
Huwa ni mgombea kibaraka.
Je mwamkumbuka Morgan wa Zimbabwe?
Je mwakumbuka kilichotokea huko?
 
Pamoja na ubishani na msuguano ninaokuwa nao na ndugu zangu Wakenya, kutoka moyoni nawaombea amani hasa kipindi hiki cha uchaguzi. Mwenyezi Mungu awajalie wavuke salama!
 
Odinga akikosa anaweza atawahi kuzeeka kwa stress

Uhuru akikosa anaweza kustaafu siasa na jubilee ikasambaratika

I bet huu uchaguz utaenda second round

Mungu awajaalie aman ndugu zetu wakenya. Maana mnasgana sana

It is a neck to neck election... Huu ndo uchaguz sasa sio mtu anashinda kwa 98%

God bless Tanzania
Godbless Kenya
Godbless Eas Africa

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Yeah! Huu ndio unaitwa uchaguzi dume...uchaguzi wa kufa au kupona!
 
Wakenya Hawamhitaji Huyo Kibaraka Wa Wazungu Raila.Mapema Mno Kenyata Anashnda Asubuhi Kabla Ya Saa4 Asubuh
Upepo ulivyo labda Uhuru aibe kura au attemper na system ya kura..bt dalili zote znaonyesha anategemea dola basi kazdiwa angle zote. ..corruption imekua kubwa sana ktk utawala wake na mauaji ya wasiomuunga mkono au wanaosmamia haki na ukweli. .Let's wait time will tell
 
Ndio nakubaliana nawe hakuna trust. Shida ya Kenya ni Kabila mbili wakikuyu na wajaluo. Sitasema zaidi ya hapo. Ningekufunza mengi kuhusu siasa ya Kenya lakini hii ni social media..si mahali pazuri sana kuongea kuhusu mambo mengine.
Wewe wacha hio fitina.Mimi ni Mmeru kamili lakini siamini shida ni wakikuyu na Wajaluo pekee yao.Shida pia ni watu kama nyie mnaotaka kujiepusha lawama ya hating the kyuks n hating the Luo.Na mbona Waturkana ,Samburu,kipsigis wanapigana sana kati yao?
 
Ukweli inauma.
 
Haya matutusa ya Jubilee yamechakachua matokeo kama kawaida yao. Miafrika ndivyo ilivyo!
 
Kama Uhuru asingeiba kura kwa kutumia password ya Chris Msando, RAO angeingia ikulu ya Nairobi.
 
Hali ilivyo hivi sasa, yaelekea Uhuru ndo kashinda huu uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…