Ogopa sana mgombea urais katika nchi za anayepigiwa chapuo na UK na US.Na hapo ndipo tatizo lilipo, kushinda kihalali ni relative, hakuna uchaguzi Dunia hii uliokamilika kwa 100%, hivyo ile tu watu wa Raila kuanza kulia kuibiwa kura tangu karibia miaka 2 kabla ya uchaguzi inaonyesha jinsi gani walivyojiandaa kukataa matokeo!
Huwa ni mgombea kibaraka.
Je mwamkumbuka Morgan wa Zimbabwe?
Je mwakumbuka kilichotokea huko?