Folota Rubber Stamp
Senior Member
- Feb 21, 2018
- 149
- 100
Wasalaam wakuu,
Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi na wenye kuhitaji kununua wanaweza kujifunza mambo mbalimbali kupitia huu uzi.
Karibuni wataalam na watumiaji wote tuyajenge.
*************&&&&&&&&&&***********&&&&&&&&&************&&&&&&&&&************
Kwa wanaohitaji ku-reset ink pad counter wasiliana namimi PM bei inategemea na model ya printer kuna za bure pia kama printer yako itaangukia kwenye kundi la bure nitakupa bila gharama.
Au ukikutana na hii message hapa chini nicheki,