Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Folota Rubber Stamp

Senior Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
149
Reaction score
100


Wasalaam wakuu,
Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi na wenye kuhitaji kununua wanaweza kujifunza mambo mbalimbali kupitia huu uzi.
Karibuni wataalam na watumiaji wote tuyajenge.


*************&&&&&&&&&&***********&&&&&&&&&************&&&&&&&&&************
Kwa wanaohitaji ku-reset ink pad counter wasiliana namimi PM bei inategemea na model ya printer kuna za bure pia kama printer yako itaangukia kwenye kundi la bure nitakupa bila gharama.

Au ukikutana na hii message hapa chini nicheki,

 
Kwa wataalam na mafundi nina shida moja, kuna hii printer Epson L805 ina tatizo la horizontal banding au lugha ingine inaprint ila kuna vistari vidogo vidogo hutokea, nilifanya nozzle cleaning ila haikusaidia kitu, nikaja kuangalia encoder strip ilikua imechafuka na wino nikaja kununua mpya na kubadili ila tatizo halijaisha.
Msaada kipi cha ziada nitatue tatizo hili wakuu.
 
Ni bei gani hizi huwa zinauzwa na kigezo gani hutumika kusema hii ni bora?
Vipi huwa ina matoleo tofauti tofauti(models)?
 
Ni bei gani hiz hua zinauzwa na kigezo gani hutumika kusema hii ni bora?
Vp hua ina matoleo tofauti tofauti(models)?
Swali lako kiongozi lipo too general, ila Epson ana vifaa vingi anauza tukija kwenye printer zipo model nyingi inategemea unataka kwa mahitaji yapi, na bei hutofautiana kulingana na mahitaji yako kama unahitaji ka printer kwa ajili ya nyumbani ku print doc zako chache obvious bei itakuwa ya chini tofauti na zenye utumizi heavy duty au professional based.
 
Shukhrani!! Nimekuelewa.
 
Nakuja na majibu kiongozi, japo mimi si mzoefu sana na mambo ya printers ila hili tatizo tuliwahi kukumbana nalo pahala na tukalitatua
 
Nauza Laserjet printer HP mpya.... bei kitonga full boxed niliinunua kwa shughuli zangu binafsi so nimeamua kuiuza.. anayeitaka or more details anichek Pm
 
Unaposema encoder strip ya L 805 unamaanisha ni ipi hiyo? Naweza kuona picha yake halisi
 
Unaposema encoder strip ya L 805 unamaanisha ni ipi hiyo? Naweza kuona picha yake halisi
Kuna mkanda fulani upo juu kidogo ya timing belt, upo coded na tiny vertical black lines, kuna optical sensor kwenye printhead assembly sasa huwa ina read speed na position ya printhead kupitia hiyo encoder strip, kuna muda huwa inachafuka na wino na kupelekea erroneous reading na kusababisha banding kwenye printouts.

Encoder strip yenyewe ni kama hiyo hapo chini inayofutwa.
 
Aisee nilikuwa sijui hii kitu. Kumbe Inkjet zote zinayo... Asante kwa ufafanuzi.
 
Mwambie fundi aje akusafishie head hiyo, kama horizontal banding haijasafishika kwa nozzle cleaning basi mwambie fundi aje asafishe print head
 
Camera naiuza njoo na 800k ni mpya kabisa njoo inbox tuongee haina tatizo lolote ni mpya kabisa imetumika miezi mitatu tu bland Nikon D3500 pia Nina copy machine HP coloured nayo ni mpya ina miezi mitatu tu lisit zipo INA warranty zake bado hazijaisha bidhaa in good conditions wala haina tatizo lolote njoo inbox tuongee maongezi na kupunguziana kupo



[emoji724] *DALALI HAHITAJIKI FOR SERIUS BUYER ONLY*


Au WhatsApp me 0656958801
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…