Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Uzi Maalumu wa EPSON printers, Ushauri, matatizo, maelekezo, matengenezo nk

Printer kawid inatkiw itoe picha ama printing nzuri kuanzia standard quality. Ukishaazna kuwek cuztom tayari ni majanga
 
Kwakuwa tayari unayo hiyo, itakufaa kwenye copping. Nunua l805 kwaajili ya printing tu.
Itanibidi ninunue l805 mkuu, kwani kunatatizo gani nikitumia hiyo custom settings kwenye hiyo printer L805?
 
Printer kawid inatkiw itoe picha ama printing nzuri kuanzia standard quality. Ukishaazna kuwek cuztom tayari ni majanga
@Grau haina tofauti na simu kukosa network hadi upande kwenye mti ama mlima wakati wenzio wnpeta hata kwenye mashimo.
 
@Grau haina tofauti na simu kukosa network hadi upande kwenye mti ama mlima wakati wenzio wnpeta hata kwenye mashimo.
Dah! Kwakweli haya ni majanga mkuu ila ngoja nipambane nayo mdogo mdogo nije nifanye utaratubu wa L805
 
Nakutoa copy huwa haitoi? Maana huwa naona inaprint tu
Ndio. L805 haina scanner hvyo kuikosesha uwezo wa kutoa copy. Lakini kwakuwa una hiyo 3110, utaitumia kwenye kutoa copy na l805 iwe kwaajili ya kuprint tu
 
Kwa wale wenye printer za epson zenye matatizo, karibuni kwa msaada na ushauri zaidi.
Mkuu vp kuna Canon ir 2425 nahitaji kuinstalll kwenye computer ili niweze kuprint but software yake ni issue kuipata na CD yake ilishapotea msaada tafadhali
 
Habarini wadau? Najua huwa mnatoa ushauri kuwa tusinunue L3110 ila tutafanyaje uchumi unabana?
Naombeni msaada kwa hili ili niendelee kusukuma maisha kwakweli, nina epson L3110 ambayo inamiezi 6 sasa, Kiukweli ilikuwa inapiga kazi na imenitengenezea pesa kiasi ila leo imenichanganya kabisa wakati wa kuprint picture ule mda picha inataka kutoka ikifika mwisho inajigeuza nakuanza kuprint kwenye kona [emoji25][emoji25] yaaani nimeshindwa kulielewa hili tatizo nahitaji msaada wenu mfano hapo. [emoji25][emoji25]
IMG_20220809_000342.jpg
 
Habarini wadau? Najua huwa mnatoa ushauri kuwa tusinunue L3110 ila tutafanyaje uchumi unabana?
Naombeni msaada kwa hili ili niendelee kusukuma maisha kwakweli, nina epson L3110 ambayo inamiezi 6 sasa, Kiukweli ilikuwa inapiga kazi na imenitengenezea pesa kiasi ila leo imenichanganya kabisa wakati wa kuprint picture ule mda picha inataka kutoka ikifika mwisho inajigeuza nakuanza kuprint kwenye kona [emoji25][emoji25] yaaani nimeshindwa kulielewa hili tatizo nahitaji msaada wenu mfano hapo. [emoji25][emoji25]View attachment 2318572
Jaribu kuangalia kwenye settings usije ukawa ume tick option ya borderless printing.
 
EPSON L3050 (inkpad is at the end of its service life).

Nahitaji msaada wa kureset hiyo printer wakuu.
Natumia hii L3050, kuna kasoftware flan hivi kanarekebisha mambo mengi mno. Kwa kusave wino tuuu, hii printa ni nzur mnooo.
 

Wasalaam wakuu,
Uzi huu utumike kupashana habari kuhusu epson printers, iwe ushauri, au kutatua matatizo mbalimbali ya hizi printer, basi taarifa zake zikusanyike hapa kuwasaidia watumiaji wengi na wenye kuhitaji kununua wanaweza kujifunza mambo mbalimbali kupitia huu uzi.
Karibuni wataalam na watumiaji wote tuyajenge.


*************&&&&&&&&&&***********&&&&&&&&&************&&&&&&&&&************
Kwa wanaohitaji ku-reset ink pad counter wasiliana namimi PM bei inategemea na model ya printer kuna za bure pia kama printer yako itaangukia kwenye kundi la bure nitakupa bila gharama.

Au ukikutana na hii message hapa chini nicheki,

View attachment 1223909
Msaada Nina Epson 3010 wiki ya tatu Sasa inagom kuconnect na computer,
Nimejaribu kubadilisha USB cable lakini bado shida.
Nikiweka Kila kwenye laptop inaandika USB does not recognize.
Copy inatoa kama kawaida.
 
Msaada Nina Epson 3010 wiki ya tatu Sasa inagom kuconnect na computer,
Nimejaribu kubadilisha USB cable lakini bado shida.
Nikiweka Kila kwenye laptop inaandika USB does not recognize.
Copy inatoa kama kawaida.
Jaribu
1. Badilisha usb cable walau 3 tofauti
2. Tumia computer tofauti zenye version walau mbili za windows unaweza kujaribu kwenye pc ya win 10 na win 7.
3. Njia zote za hapo juu zikigoma shida itakua kwenye interface card ya printer yako.

soln
1. Ipeleke kwa fundi waicheki card
2. Kama ina support wifi unaweza kutumia bila usb cable.
 
Hii tupe maelezo zaidi mkuu
Printer inapomaliza kuprint, au inapowaka imekua programmed kusafisha nozzle ili zisi clog, usafishwaji hufanyika kwa kutumia wino uliopo kwenye mitungi, ule wino humwagwa kwenye pad iliyo mithili ya sponge inakua ndani ya printer yako, sasa baada ya matumizi ya muda mrefu hilo sponge hujaa wino hivyo inatakiwa ibadilishwe iwekwe sponge jipya, sasa kuepuka usumbufu wa kubadili sponge huwa unawekwa mrija kupeleka waste ink nje ya printer, hapo utakua na kichupa kwa nje kitakua kinakusanya mabaki ya wino wote utakaotumika kusafisha printer.
 
Back
Top Bottom