Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Weka basi kirefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka basi kirefu
Lile tangazo me nilidhani linasema...ASUBUHI ASUBUHI RFAAAAAIMimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.
Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema
ESHESHESHEEEEE
baadae nikaja kugundua wanasema
EXPRESS YOUR SELF
Nilijiona Fara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Halafu Kuna yale maneno yanasikika baada ya taarifa ya habari ya RADIO FREE AFRIKA (RFA)
Yanasema:-
OBSUGU OBSUGU...AREFEI AREFEI
hadi leo sielewi wanasema nini.
Karibu tutiririke
Kizibo
All salute!Mkuu Yale maneno wanasemaje?
Kizibo