Uzi maalumu wa kuelezena Yale ambayo zamani ulikuwa huyaelewi ukaja kuyajua baadae au hadi Sasa huyaelewi.

Uzi maalumu wa kuelezena Yale ambayo zamani ulikuwa huyaelewi ukaja kuyajua baadae au hadi Sasa huyaelewi.

Mimi binafsi Kuna vitu zamani nilikuwa sivijui, baada ya kuvijua nilicheka Sana.

Kuna ile slogan ya kwenye tangazo la tigo zamani kidogo, mimi nilikuwa nasikia wanasema

ESHESHESHEEEEE


baadae nikaja kugundua wanasema


EXPRESS YOUR SELF

Nilijiona Fara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


Halafu Kuna yale maneno yanasikika baada ya taarifa ya habari ya RADIO FREE AFRIKA (RFA)

Yanasema:-

OBSUGU OBSUGU...AREFEI AREFEI

hadi leo sielewi wanasema nini.


Karibu tutiririke


Kizibo
Lile tangazo me nilidhani linasema...ASUBUHI ASUBUHI RFAAAAAI
 
Back
Top Bottom