Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Faraja ya mtu asie na hela ni kumpatia pesa.
unataka ufarijiwe au upatiwe mapesa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unataka ufarijiwe au upatiwe mapesa?
Ha ha ha sipendezei kuteswa na mapenzi? Mzigua90?Hahahahaaa. Unazingua wewe muone.
tuma namba urekebishiweFaraja ya mtu asie na hela ni kumpatia pesa.
Asante mkuu. Anza basi kunifarijiMfariji wako nipo hapa, pembeni yako kabisa....[emoji39] [emoji39] [emoji39]
atakushauri ung'oe meno kama yeye[emoji23]Asante mkuu. Anza basi kunifariji
Airtel money mkuu?Mfariji wako ni airtel hujagundua tu? Utaishi huru ukiwa nae
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]Kukata tamaa ni umaskini ukatae.
Kabla hujataka kufarijiwa jiulize ni wangapi wanahitaji faraja yako hali wewe umekata tamaa.?
Nilishawahi kukata tamaa nilivyokua mjamzito. Kama kujiua isingekua dhambi ningeshapotea kwenye ulimwengu huu. Mama yangu nae alikua sababu ya mimi kutojiua. Miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito nilipata tabu sana. Machozi kila siku. Kila nikiamka nawaza kutoa ujauzito au nizae niwe single mom dunia ije kunihukumu. Lakini Mungu ni mwema sana. Nilisema kama ambavyo napata mawazo ya kuwa mama wa huyu kiumbe basi na Mungu hatoniacha.
Sasa hivi hata nipitie gumu kiasi gani hata kulia nimeacha nikiwaza kuna binadamu anaishi kwa sababu mimi nilimleta duniani.
Ninachomaanisha hata upite magumu kiasi gani kuna watu bado wanaamini katika wewe hivyo usikate tamaa. Chukulia kama kipindi cha mpito yote yatarudi kama mwanzo mapito yako yakiisha.
Airtel money mkuu?
tuma namba urekebishiwe
Hahahahaha ili niwe kibogoyo?atakushauri ung'oe meno kama yeye[emoji23]
Umejuaje? Au hauna namba ya airtel? Kama unayo tupiamo
Pole, hongera na pambana maana njia ushaiona tayariKukata tamaa ni umaskini ukatae.
Kabla hujataka kufarijiwa jiulize ni wangapi wanahitaji faraja yako hali wewe umekata tamaa.?
Nilishawahi kukata tamaa nilivyokua mjamzito. Kama kujiua isingekua dhambi ningeshapotea kwenye ulimwengu huu. Mama yangu nae alikua sababu ya mimi kutojiua. Miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito nilipata tabu sana. Machozi kila siku. Kila nikiamka nawaza kutoa ujauzito au nizae niwe single mom dunia ije kunihukumu. Lakini Mungu ni mwema sana. Nilisema kama ambavyo napata mawazo ya kuwa mama wa huyu kiumbe basi na Mungu hatoniacha.
Sasa hivi hata nipitie gumu kiasi gani hata kulia nimeacha nikiwaza kuna binadamu anaishi kwa sababu mimi nilimleta duniani.
Ninachomaanisha hata upite magumu kiasi gani kuna watu bado wanaamini katika wewe hivyo usikate tamaa. Chukulia kama kipindi cha mpito yote yatarudi kama mwanzo mapito yako yakiisha.
Hayo ndiyo maneno.Faraja ya mapenzi ni kupata mbadala wa anaekupa stress. Nina kaka angu ako DSE very handsome atakufaa kukufariji kipindi hiki
Sawa mkuu ngoja niitupieUmejuaje? Au hauna namba ya airtel? Kama unayo tupiamo
hutaki wa BOT?Hayo ndiyo maneno.
Na Mimi niunganishe huko huko anifariji.
Umesema ni handsome eeeh
Pole, hongera na pambana maana njia ushaiona tayari
Mpesa je?!
Hayo ndiyo maneno.
Na Mimi niunganishe huko huko anifariji.
Umesema ni handsome eeeh