Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Kukata tamaa ni umaskini ukatae.
Kabla hujataka kufarijiwa jiulize ni wangapi wanahitaji faraja yako hali wewe umekata tamaa.?
Nilishawahi kukata tamaa nilivyokua mjamzito. Kama kujiua isingekua dhambi ningeshapotea kwenye ulimwengu huu. Mama yangu nae alikua sababu ya mimi kutojiua. Miezi mitatu ya mwanzo ya ujauzito nilipata tabu sana. Machozi kila siku. Kila nikiamka nawaza kutoa ujauzito au nizae niwe single mom dunia ije kunihukumu. Lakini Mungu ni mwema sana. Nilisema kama ambavyo napata mawazo ya kuwa mama wa huyu kiumbe basi na Mungu hatoniacha.
Sasa hivi hata nipitie gumu kiasi gani hata kulia nimeacha nikiwaza kuna binadamu anaishi kwa sababu mimi nilimleta duniani.
Ninachomaanisha hata upite magumu kiasi gani kuna watu bado wanaamini katika wewe hivyo usikate tamaa. Chukulia kama kipindi cha mpito yote yatarudi kama mwanzo mapito yako yakiisha.
[emoji123][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Pole, hongera na pambana maana njia ushaiona tayari
 
Handsome sana yani anaweza kukupa ugonjwa wa moyo ukiingia dm yake wanavyomsumbua wadada wa mujini
Hayo ndiyo maneno.
Na Mimi niunganishe huko huko anifariji.
Umesema ni handsome eeeh
 
Back
Top Bottom