Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Yiiih.. mtazaa kitoto kizuriiiiii
Na nilivyo cute..mbona mambo yatakuwa biyee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nilivyo cute..mbona mambo yatakuwa biyee
Wifi hajanifariji hata kaniongezea simanzi tu huyuHongera sana wifi kwa kufarijiwa.
Shida yako umeisha sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kazi ipo mawifi wasivyopenda Kaka zao kutoa pesa , lakini mawif hao hao wakipewa pesa na wanume zao wanajisifu wanapendwa , shida kwel kwel, kumuelewa mwanamke inahitaji elim zaidi ya uprofesa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bora umeelewa...nimechooka na kazi zenyewe hizi[emoji36]nmepata opportunity fulan ila.moyo mzito kidrop kibarua...bas nipo kama sipo
Nipatie mimi hiyo nafasi dear.. SITAKUANGUSHA. Wewe ubaki kwa ajira ya kwanza.
Hahahahahhaa.. mwenyewe nimejua unazingua bwana
[emoji38][emoji38]ww mzigua unaweza kwenda kuishi interior?
Hamna bwanaHeeh!! kumbe hatuaminiani
Hapo sawa, nikahisi huniamini ningesitisha muamalaHamna bwana
[emoji38][emoji38]ww mzigua unaweza kwenda kuishi interior?
Hapo sawa, nikahisi huniamini ningesitisha muamala
Hivi hizi opportunity huwa mnazipatia wapi jaman?
Ukizipata na mimi naomba nikumbukeHivi hizi opportunity huwa mnazipatia wapi jaman?
Haya nausubiria si unajua weekend leo
Ukizipata na mimi naomba nikumbuke
unajua kukata nyonga ukiwa 6*6?Na mimi ninayeteswa na mapenzi naombeni mnifariji.
Wewe najua unazipata
Sisi wengine mmh hatari tupu
Napata pata ila nataka nzuri bwana sio hizi za kusogeza siku
Basi ukipata hizo za kusogeza siku nipasie na mie hali mbaya