Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Sawa mpenzi nitakushtua kukitokea nafasi
Naturn on notifications
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mpenzi nitakushtua kukitokea nafasi
Naturn on notifications
Pole sana mkuu! Hivi kweli Mungu yupo? Au ni imani tu!kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....
Natamani Kushare Nanyi story abt My life
😂😂 pole sana mkuuMimi ndio sifai kabisa ...msione
nachangia mada!
kiongozi kwa yale ambayo nilipitia na mpaka nipo hiviPole sana mkuu! Hivi kweli Mungu yupo? Au ni imani tu!
Hakika mkuukiongozi kwa yale ambayo nilipitia na mpaka nipo hivi
HAKIKA MUNGU YUPO na Utendaji kazi wake Upo....
Mungu akusamehe na akuongoze katika njia sahihi maana umepotea c bureNilivyosoma hilo neno kufarijiana haraka haraka nikadhani kufirana ,nikaja fasta nione nani anahitaji kifiro .kumbe ni uzi maalumu wa kufarijiana
Muogope mungu basi broo, kwan unayofanya c sahihi, Sali na uombe kwa imani yako naamini mungu atakuongoza vyemaYaani, nahitaji faraja kwa kweli yaani toka tu niangalie zile video vya amberuty. Kila mwanamke ninaye mtaka dhamira inanituma lazima niombe tigo. Tumeshagombana na mademu zangu kama watatu . Kati ya hao mmoja nilimla kwa shida na ugomvi, tangu aondoke hajafika tena, nikimpigia simu anasema tu siwezi kukusahau kwa kitendo ulichonifanyia, sasa mimi namtania tu nashukuru kwa kutonisahau najua umeniweka moyoni siku maumivu yakiisha utaniletea tena tigo.hao wawili wanakuwa makinisana tunaposex, ukiwaambia geuka wanasema umeanza mambo yako ya amber.
mkuu umegusa ndipo!Nyuzi za aina hii ndo ambazo napata shida nikiwa nasoma comments kuliko zozote Jf,kuna hali ya huruma flan hivi inanipata.watu wana matatizo mengi sana maishani,wakati unawaza upate mil kadhaa umalizie kibanda kuna mtu ana shida ya buku tu akale.unaumizwa na mke mmoja mwenzio ana watatu na anafuraha tele,hayo ndo maisha.
Kuna kipindi nadhani ndo kipindi kibaya zaidi maishani,ule wakati ambao binadamu anakuwa hana hamasa ya kufanya chochote pengine labdaanafeli kwa kila anachofanya.Anakata tamaa kiasi ambacho anatamani kufa na hawezi kujiua kwani anamuogopa Mungu,anatamani hata apate ajali tu afe na haitokei na mambo yanazidi kuwa magumu,inafikia hatua anaona kama yeye ni useless na wengine ni bora zaidi kwa sababu wana furaha huku yeye amekwama shimono,depression dah!!Kufarijiana muhimu tu....
Ok ngoja wajeUkihitaji faraja unakuja pm
Bado naisubiri hii kakaWeekend nitapata wasaa
Nita update story yangu...
hope utajifunza mengi
maisha hayako kama tulivyokuwa tunaambiwa lakini jambo la uhakika kifo kipo mbele yetu
Nimeshaona message zako nyingi kuhusu Mahondaw lakini nina wasiwasi kama yeye anakupenda umpendavyo, its none of my business ila mmmh umezidi banaaaa.... nyie ndio mnaojinyongaga siku mkipigwa kibuti
Mbona unamkatisha tamaa, kinyume na uzi uliouanzisha?