Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

kuna kipindi nilipataga misukosuko
nilitamani Dunia ipasuke...ilifikia kipindi nilitamani hata nigongwe na gari au kitu kibaya kinipate ili nife but haikuwa hivyo...
ni vile unapita wakati mgumu hata ndugu/rafiki na mpenz wanakukimbia ni hatari sanaaa
tangu hapo sikutaka tena kuamini/kuwategemea watu......
nilijiapiza na Mungu wangu na kuweka ahadi na Mungu wangu
from now nakula mema ya Nchi japo sijafikia but atlest now...naona mwanga mkubwa wa maisha yangu tofauti na kipindi cha Nyuma...
Kuna wakati now nadhani bado nipo ndotoni coz siamini kama ndiyo Mimi ambaye watu walinicheka na kunidhihaki....
hata walionitenga Leo ndiyo wakwanza kuninyenyekea...
nilichojifunza
wakati mwingine Mungu anaruhusu upitie magumu ili akufikishe kwenye kusuidio na sehemu aliyokuandalia...
lait kama wale niliowategemea wangefanya kama nilivyodhani au lait kama baba asingenitelekeza pengine leo "NISINGEKUWA MTU MAALUMU" katika Dunia yetu. ....

Natamani Kushare Nanyi story abt My life
Pole sana mkuu! Hivi kweli Mungu yupo? Au ni imani tu!
 
Nilivyosoma hilo neno kufarijiana haraka haraka nikadhani kufirana ,nikaja fasta nione nani anahitaji kifiro .kumbe ni uzi maalumu wa kufarijiana
 
Yaani, nahitaji faraja kwa kweli yaani toka tu niangalie zile video vya amberuty. Kila mwanamke ninaye mtaka dhamira inanituma lazima niombe tigo. Tumeshagombana na mademu zangu kama watatu . Kati ya hao mmoja nilimla kwa shida na ugomvi, tangu aondoke hajafika tena, nikimpigia simu anasema tu siwezi kukusahau kwa kitendo ulichonifanyia, sasa mimi namtania tu nashukuru kwa kutonisahau najua umeniweka moyoni siku maumivu yakiisha utaniletea tena tigo.hao wawili wanakuwa makinisana tunaposex, ukiwaambia geuka wanasema umeanza mambo yako ya amber.
 
Muogope mungu basi broo, kwan unayofanya c sahihi, Sali na uombe kwa imani yako naamini mungu atakuongoza vyema
 
Nyuzi za aina hii ndo ambazo napata shida nikiwa nasoma comments kuliko zozote Jf,kuna hali ya huruma flan hivi inanipata.watu wana matatizo mengi sana maishani,wakati unawaza upate mil kadhaa umalizie kibanda kuna mtu ana shida ya buku tu akale.unaumizwa na mke mmoja mwenzio ana watatu na anafuraha tele,hayo ndo maisha.
Kuna kipindi nadhani ndo kipindi kibaya zaidi maishani,ule wakati ambao binadamu anakuwa hana hamasa ya kufanya chochote pengine labdaanafeli kwa kila anachofanya.Anakata tamaa kiasi ambacho anatamani kufa na hawezi kujiua kwani anamuogopa Mungu,anatamani hata apate ajali tu afe na haitokei na mambo yanazidi kuwa magumu,inafikia hatua anaona kama yeye ni useless na wengine ni bora zaidi kwa sababu wana furaha huku yeye amekwama shimono,depression dah!!Kufarijiana muhimu tu....
 
mkuu umegusa ndipo!
Hadi Unajuta na kulaumu waliokuleta duniani kwa starehe zao halafu wewe uliyekuja bila ridhaa yako unaishi kwa adha isiyoelezeka!
Yaani...
Aarrgh!
 
Sasa hii ni faraja au kutishana tena.Mweka Uzi ametaka maneno ya kufarijiana .Japo ni Kweli kifo kipo.Ila sasa angalia.Mfano.Siku ya ndoa.MTU anaolewa au kwenye kitchen party. Mmama mmoja anasimama 'mwanangu nakwambia hata makovu ni kipigo toka kwa mume mashangaa nawe unayafuata mateso.Au wkt wa kujifungua waweza poteza Maisha(huo ni ukweli sometimes)
But huwa sio mahala pake.
Likewise Uzi huu umemaanisha tufarijiane hayo mabaya tuyasahau.
maisha hayako kama tulivyokuwa tunaambiwa lakini jambo la uhakika kifo kipo mbele yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana.Naomba hapa nimtete.Mahondah namjua personal.
Amempigania sana huyu kaka hata kwa madada wanyanganya wachumba.Na hata yeye humuandika sana sana.Lqbda hujamfatilia.Kifupi wanajitahidi mana sio rahisi tangu waanze.Ila nahisi kama wana ID tofauti Na hii.Hizi za kuturusha roho
Nimeshaona message zako nyingi kuhusu Mahondaw lakini nina wasiwasi kama yeye anakupenda umpendavyo, its none of my business ila mmmh umezidi banaaaa.... nyie ndio mnaojinyongaga siku mkipigwa kibuti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom