Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Uzi maalumu wa kufarijiana kwa wale wote wanaopita kwenye hali ngumu za kimaisha

Mbona unawakatisha tamaa mtoa Uzi wa kufarijiana.Au huwataki tu wawepo hapa waonyeshe kupendana.
Kupendana kwa maneno .... kelele nyingiii humu. Tupeni mwaliko wa harusi hata kama ni chini ya mwembe mpate baraka zoteeee... kisha tuwasikie kama mtaendelea na hizi ngonjela humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Wimbo mmoja aliimba Bahati Bukuku akisema.
MAJARIBU NI MTAJI.
Ni Kweli there is time life can be harder but get strong.No permanent Situation.
Tomorrow will be greater than Today!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine katika maisha tunapitia vipindi vigumu na vizito vinavyotufanya tuhitaji kufarijika na kutiana moyo. Unaweza kufarijika kwa maneno mazuri toka kwenye vitabu vya dini au toka kwenye mawazo ya mioyo ya wengine. Sio vibaya tukawa tunatiana moyo humu na kufarijiana.

Jaribu kuandika kitakachoweza kufariji au kutia moyo ili kila atakayepita hapa afarijike.

Hasa katika kipindi hiki hali tunayopitia, maisha magumu, kazi hatuna, mafisadi wanakula jasho letu .... tunapambana tu... lazima tugangamale

Zaburi 46 inasema.

Mungu kwetu sisi ni kimbilio na nguvu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso. Kwa hiyo hatutaogopa ijapobadilika nchi, ijapotetemeka milima moyoni mwa bahari. Bwana wa majeshi yupo pamoja nasi.
Mmmmh
 
Back
Top Bottom