Nimeelewa ndio,Kikubwa umeelewa karibu
sawa kakaNimeelewa ndio,
Ila nawe jitahidi siku zingine usirudie haya makosa. Watu huamini Quantity Surveyors ni watu waliofika mbali kishule, Sasa ukiandika hivi inatia shaka kidogo.
wakati mwingine wenzako kwa ustarabu wanampigia mtu na kumueleza sio kuandika kila mtu aone but ok yameishaNimeelewa ndio,
Ila nawe jitahidi siku zingine usirudie haya makosa. Watu huamini Quantity Surveyors ni watu waliofika mbali kishule, Sasa ukiandika hivi inatia shaka kidogo.
Sorry Mkuu ππΎwakati mwingine wenzako kwa ustarabu wanampigia mtu na kumueleza sio kuandika kila mtu aone but ok yameisha
PamojaSorry Mkuu ππΎ
Nipo dar-Goba, nataka nijue ili nisipigwe sana yaani nijue nachezea wapi.. Nimeamua kujenga ila nataka niwe na idea kidogo kuwa nitasimama wapi hadi wapi
Kumbe nawe mtaalamu?Unaweza kufanya hivi;
1. Kulipa kwa kutwa bei ya fundi ni 20, 000
Hadi 30,000. Na fundi msaidizi wake ni 10k hadi 15k inategemea ubora na speed ya fundi.
2. Unaweza kulipa kwa tofali bei sh 300 hadi 400