Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

Nimeelewa ndio,
Ila nawe jitahidi siku zingine usirudie haya makosa. Watu huamini Quantity Surveyors ni watu waliofika mbali kishule, Sasa ukiandika hivi inatia shaka kidogo.
wakati mwingine wenzako kwa ustarabu wanampigia mtu na kumueleza sio kuandika kila mtu aone but ok yameisha
 
Nipo dar-Goba, nataka nijue ili nisipigwe sana yaani nijue nachezea wapi.. Nimeamua kujenga ila nataka niwe na idea kidogo kuwa nitasimama wapi hadi wapi

Mkuu Goba kiwanja cha cha wastan sqm 600-800 vinapatikana kwa bei gani
 
Back
Top Bottom