Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
50 mil inamaliza ila kwa kujibana. Ukijiachia hesabu 60milUkienda na hesabu hiyo umeliwa mzee! Nkupa mfano mdgo nipe majibu
Gharama za ufundi tu piga hesabu
Fundi wa kujenga boma na shimo la choo
Fundi wa kupaua na blandering
Fundi wa jamvi
Fundi wa electrical wiring
Fundi wa plumbing
Fundi wa plasta
Fundi wa gypsum na skimming
Fundi wa rangi
Fundi wa tiles
Hapo kadiria ww utawalipa sh ngap alafu toa kwenye hyo 30 au 40 uone unabakiwa na sh ngap?
Alafu ukimaliza weka gharama za madirisha yako 15 (grill na aluminium) then ongeza na milango 9 (frame na top) alafu weka na gharama za kuunganisha umeme tanesco alafu nmbie umebaki na sh ngap ili twende kwenye materials sasa[emoji23]