Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu anza ujenzi haraka tu materials ya ujenzi yanapanda kila siku
Kwenye finishing gharama inategemea utatumia materials ya aina gani kunatokea variation kubwa kama materials ni ya kichina, kithailand au ya Europe.
Mi juzi nimemaliza kujenga rental apartment 2 za Chumba kimoja,sebuleni choo ,jiko na kibaraza nimetumia 50m+zote
Jenga tu Mzee usifikirie sana gharama hakuna ishu inayokula hela kama mchwa kama ujenzi.
All in all inategemea na mfuko wako finishing ya sebuleni tu inaweza Kula hadi m30 inategemea utataka iwekwe vikorombezo gani
Unalipa kwa instalment kidogo kidogo na tunafanya mkataba najenga Mimi wewe Ni kupokeamradi tuuAchana na stori za watu Kama wanasema m 120 nipe 50 nikupe ufunguo
Hiyo sebule M 30 unajengea dhahabu?Mkuu anza ujenzi haraka tu materials ya ujenzi yanapanda kila siku
Kwenye finishing gharama inategemea utatumia materials ya aina gani kunatokea variation kubwa kama materials ni ya kichina, kithailand au ya Europe.
Mi juzi nimemaliza kujenga rental apartment 2 za Chumba kimoja,sebuleni choo ,jiko na kibaraza nimetumia 50m+zote
Jenga tu Mzee usifikirie sana gharama hakuna ishu inayokula hela kama mchwa kama ujenzi.
All in all inategemea na mfuko wako finishing ya sebuleni tu inaweza Kula hadi m30 inategemea utataka iwekwe vikorombezo gani
Maurembo tu ya ajabu ajabu mbao na gypsumboards zinakatwakatwa kutengeneza urembo wa taa na sehemu ya TVHiyo sebule M 30 unajengea dhahabu?
Hayo mavitu yapo niliona Kwa jamaa yangu Fundi tu wa Magari Mimi bosi nampelekea Magari afanye service sina hiyo sebule.Acheni sifa za Instagram [emoji276]
Embu shangaaa na wwHiyo sebule M 30 unajengea dhahabu?
Milioni 90 hadi kukamilika, nakubaliana na wewe kabisa 100%. Kwa Tsh 130m, hapana. Watakuwa wamemuibia muibo mkubwa sanaAndaa million 90 mpaka 130. 4 bedroom house ni nyumba kubwa. .
Mie nimejenga apartment chumba choo, sebule choo na jiko la dining. Zifatane ziwe nne. .
Nimemaliza million 80 na bado nyumba sijafanyia finishing. Ujenzi unategemea na ulipo siku zote na design ya nyumba unayotaka. .
Mpangaji mmoja vipimo vya ndani kwa ndani ni ft 16 kwa ft 26.5 sasa hapo zidisha kwa 4. .
Nyumba yangu ndogo ambayo ni 2 bedroom, sebule plus kitchen nimetumia million 69 mpaka finishing kuisha. .
Kaipendea uramani wake! 😎Hiyo ramani umeipendea nini hasa?
Unajuaje kama haiendani na kipato changu mkuu? Kama unafahamu gharama zake niambie ndo nijue sio level yangu ama lahKama hujui njia uiendayo kila njia kwako itakuwa ni sahihi![emoji276]kiongozi ramani za kuokoteza ni hatari sana utakimbia pagale baadae,hivi wewe hauna ndoto ya nyumba yako unataka iwe Vipi?,angalia kipato chako na ndoto zako kisha tafuta ramani inayolingana na uwezo wako
Ndoto yangu kuanza na nyumba ya room 3, nimependa mpangilio wake ulivyo kuanzia jikon hadi sitting roomHiyo ramani umeipendea nini hasa?
Asante mkuu, January nitajitahid nianze hatua za awaliImezidi sana ni 40m. Lakini 30m inatosha.
Kama ni pesa hiyo naweza kuimudu japo kwa kuchelewa angalau miaka miwili naweza kuwa nimekamilishaNdio maana nilivyoona tu hiyo ramani nikajua tu litakufa jitu [emoji851]sio ramani ya kujenga kwa pesa za vicoba ni lazima uwe umejipanga kweli kweli
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acheni sifa za Instagram [emoji276]
Imezidi sana ni 40m. Lakini 30m inatosha.
Asante mkuu, January nitajitahid nianze hatua za awali