Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

True.. jamaa yangu ametumia 23M kwa 4bedrooms hapo Magrill yamebaki kwa fundi anadaiwa nusu na finishing hajaanza kabisa..ila ela imeyeya ivo wakati fundi alimwambia itabaki kupaka rangi tu 😭😭
 
True.. jamaa yangu ametumia 23M kwa 4bedrooms hapo Magrill yamebaki kwa fundi anadaiwa nusu na finishing hajaanza kabisa..ila ela imeyeya ivo wakati fundi alimwambia itabaki kupaka rangi tu [emoji24][emoji24]

Kuna raia wanasema bila milioni 150 huwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne,yaani boma pekee ni milioni 50[emoji28]kwahiyo huyo jamaa yako kajenga nyumba kwa kutumia gazeti?[emoji276]
 
Chukua sqm za nyumba yako yote zidisha kwa 500,000 utapata makisio ya kumaliza kila kitu mpaka kuhamia. Ukikomaa mwenyewe unaenda nunua vitu na kusimamia hasa itapungua. 500,000 ni makisio ya chini maana sasa hivi vifaa vya ujenzi vimepanda bei sana inaenda mpaka 600000 - 800000 kwa sqm inategemea na ubora wa vifaa vyako na aina ya ujenzi. (Kwa Dar es Salaam)
 
VEry pro advice
 
Kuna raia wanasema bila milioni 150 huwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne,yaani boma pekee ni milioni 50[emoji28]kwahiyo huyo jamaa yako kajenga nyumba kwa kutumia gazeti?[emoji276]
jamani hizi ni professional za watu kabla hujabisha au kukubali hoja hakikisha unaelewa maswala ya ujenzi vizur. garama za ujenzi zinategemea sana na
1. location ya ardhi unapojenga kiwanja kimekaaje
2. garama za material za ujenzi zinatofautiana mfano mfuko wa cement mwanza na arusha au dar ni tofauti.
3. ramani husika. ( nyumba inaweza kuwa na vyumba vitatu au vinne ikawa na square meters kubwa kutokana na ukubwa wa vyumba mfano. standard chumba ni mita 3*3.5 ila kuna sehemu watu wanapendelea chumba kiwe na mita 3.5 *4
ushauri tafuta mtu anayeelewa vizur mambo ya mchanganuo wa ujenzi akuandalie BOQ ya ujenzi itakayoonyesha quotation za bei kulingana na ramani yako
 
Umesema 4bedrooms kwa heading then kwenye maelezo unataka 3bedrooms.
Nimejenga 4bedroom DSM eneo slope kali, ilikula karibuni 35M mpk kupaua mbali na finishing.

Kwa arusha itakuwa chini ya hapo kwa kuwa kwenye msingi utatumia mawe. So nadhani 25 to 30M itatosha kama eneo halina slope kali.

Ukihitaji ramani yake karibu inbox but uwe tayri kuchangia gharama kidogo.
Humu watu mbona kama mnadanganya..nyumba yangu ya vyumba vinne kipaua pekee nilitumia 25+m
 
Mimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
Tupia picha ya hiyo nyumba tuione
 
Naomba kaz ya finishing mkuu 0757735884 au tembelea ukurasa wetu.Instagram highland _decor_solution
Andaa million 90 mpaka 130. 4 bedroom house ni nyumba kubwa. .

Mie nimejenga apartment chumba choo, sebule choo na jiko la dining. Zifatane ziwe nne. .

Nimemaliza million 80 na bado nyumba sijafanyia finishing. Ujenzi unategemea na ulipo siku zote na design ya nyumba unayotaka. .

Mpangaji mmoja vipimo vya ndani kwa ndani ni ft 16 kwa ft 26.5 sasa hapo zidisha kwa 4. .

Nyumba yangu ndogo ambayo ni 2 bedroom, sebule plus kitchen nimetumia million 69 mpaka finishing kuisha. .
 
Unaweza kutumia 80m up to 100m ukisimamia vizuri

Kusimamisha boma hadi kupaua utatumia around 30 -35 m.

Twende inbox nikupe mchanganuo wa nyumba yangu mwenyewe garama nilizozitumia
 
Jenga taratibu nunua tofari kadhaa,mchanga,cement,piga msingi,kwa nunua vitu hata vya laki mbili,Anza kujenga hata kama una elfu 50!!ukisema udundulize mpaka ifike 45M!utakimbia,may be kama una mkopo,na upo sehemu yenye asali,
Mi nimejenga nyumba tstu kwa pesa ya kubangaiza,200K,300K,500K,100K,namuuliza fundi,msingi Tsh ngapi,material kiasi gani,nanunua taratibu,nikipata natafuta pesa ya fundi,anajenga,vitu vikiisha,tunasimama,navuta nguvu Tena,mdogo mdogo!!
Nina nyumba Njiro Arusha,Kisasa Dodoma,nk
 
Shukrani sana kiongozi [emoji1488]ila watakuja hapa wajuba watasema wewe ni motivation speaker [emoji346]!,kwa nyumba moja jumla yake ilikugharimu kiasi gani mkuu?
 
kaka na mimi ninaomba msaada wa kujua gharama za ujenzi ushauri au uelewesho wa ujenzi cos sijawahi kujenga nyumba from start mpaka finish but this time nataka kujaribu kujenga mwenyewe sasa shida yangu ni kufahamu ujengaji unakuwa na hatua ngapi na wapi gharama zinakuwa kwamfano ningependa kuanzia msingi mpaka linta then kuendelea kwa hatua so naomba msaada wa mawazo cos wewe ni mtaalamu sana wa hizi issue ,nyumba yenyewe ni hii yaani iko na maduka mawili makubwa, nyumba ya pembeni ya mgeni ambayo iko na choo na chumba kimoja na nyumba kubwa ambayo iko na vyumba vinne

Open photo
https://www.facebook.com/messenger_...5yLERj7aWE39Oskiw7s&thread_id=100000502538381
shukran sana
Nitumie mchoro 0655173113 ili niweze jua ukubwa wa nyumba
 
Naomba kujua gharama za ujenzi mpaka lenta.

Urefu 18m upana 14mita
vyumba vitatu, kimoja masta, seble choo public na stoo pemben ndogo, Dar es Salaam.

18mx14m=252SQM[emoji276]!,hiyo ni nyumba ama shule mkuu?252x500000tsh andaa kiasi kisichopungua 12600000tsh hadi hiyo shule kukamilika [emoji28]
 
Back
Top Bottom