whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Huko uliko mchanga na mbao bei rahisi, ukimbana fundi utatumia at least m20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko uliko mchanga na mbao bei rahisi, ukimbana fundi utatumia at least m20
Njoo pm harakaHabari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya maelezo hayo hapo chini;
1. Ya kisasa kidogo
2. Size: Plot ya 18x25
3. Eneo: Moshono, Arusha (kwa Laizer)
Hitaji:👇
* Kupauwa napauwa na Mabati mgongo mpana.
- 1 Master Bedroom
- 2 Bedrooms ( Zote 2 Self Contained)
- Sitting Room
- Open Kitchen + Store
- Dinning
- Public Bathroom + Toilet
🙏 Tafadhali naombeni makadirio ya kuanzia chini hadi nyumba kupauliwa.
NOTE: Natashukuru pia kupendekezewa mchoraji mzuri asiye na gharama... Na Mjenzi kwa maeneo ya Arusha ambye mwaminifu.
🙏 NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.
Iyo pesa najenga nyumba mbili na kununua viwanja vyakeMimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
[emoji706]Andaa million 90 mpaka 130. 4 bedroom house ni nyumba kubwa. .
Mie nimejenga apartment chumba choo, sebule choo na jiko la dining. Zifatane ziwe nne. .
Nimemaliza million 80 na bado nyumba sijafanyia finishing. Ujenzi unategemea na ulipo siku zote na design ya nyumba unayotaka. .
Mpangaji mmoja vipimo vya ndani kwa ndani ni ft 16 kwa ft 26.5 sasa hapo zidisha kwa 4. .
Nyumba yangu ndogo ambayo ni 2 bedroom, sebule plus kitchen nimetumia million 69 mpaka finishing kuisha. .
Mkuu ulijenga kanisa?Mimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
AlipigwaMkuu ulijenga kanisa?
Ulijenga angani au wapi? Mimi nilij3nga nyumba ya 3bedrooms na nyingine 2bedroom tatu nilitumia 100M.Mimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
Hii itakuww materials za finishing umetumia za uhakika kama ni tiles ni spanish na dirisha ni pvc au ile ya mbao yenye mouldings milango mninga na ukuta +peving inclusiveMimi nilijenga nyumba ya 4 bedrooms na kwa specifications karibu sawa na ulizotoa hapo juu mwaka 2019 hapa Iringa. Gharama zote na kuingia ndani kuishi ikiwa complete kwa matofali ya block ya cement nilitumia 122,000,000/-
Kila la kheri mkuuNashukuru..naona kuna uhalisia hapa. Budget yangu mpaka kupauwa ni TZS 24ML. Plan yangu ni kwamba by the time napauwa nitakua na 10ml ambayo nitaanza nayo finishing nianze kuingia... Mengine nitamalizia nikiwa ndani
Karibu mkuuNikiona nyumba mpya kwa Laizer nakuja kugonga hodi 😅😅
Kajenga kwa free budget huyu. Mimi yangu ni limited. Nyumba ya kwanza, sihitaji mbwembwe. Najenga kupata experience kwanza. Kama pilot project kisha nijenge nyumba ya kustaafia. Finishing yangu katika hii ya kwanza nitafanya kawaida, ila siweki kitu chochote mchina. Tiles Spanish, Vifaa jikoni, bafuni GermanyHii itakuww materials za finishing umetumia za uhakika kama ni tiles ni spanish na dirisha ni pvc au ile ya mbao yenye mouldings milango mninga na ukuta +peving inclusive
nahitaji niko arushaInategemea upo mkoa gani.
Kama una posho ni pm nikupe ramani nzuri sana ya Kila kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni pm ramani ziponahitaji niko arusha
Million 250 mkuuHabari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya maelezo hayo hapo chini;
1. Ya kisasa kidogo
2. Size: Plot ya 18x25
3. Eneo: Moshono, Arusha (kwa Laizer)
Hitaji:👇
* Kupauwa napauwa na Mabati mgongo mpana.
- 1 Master Bedroom
- 2 Bedrooms ( Zote 2 Self Contained)
- Sitting Room
- Open Kitchen + Store
- Dinning
- Public Bathroom + Toilet
🙏 Tafadhali naombeni makadirio ya kuanzia chini hadi nyumba kupauliwa.
NOTE: Natashukuru pia kupendekezewa mchoraji mzuri asiye na gharama... Na Mjenzi kwa maeneo ya Arusha ambye mwaminifu.
🙏 NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.
ku pm ndo kufanya nini samahani mie mgeniNi pm ramani zipo