Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesema vyema.Ungweka mchoro wenye vipimo sasa, ili kupata makadrio sahihi
Tatizo mchoro Una marekebisho Fulani ya kufanyaUngweka mchoro wenye vipimo sasa, ili kupata makadrio sahihi
Asante mkuu,lakini hii Kwa siku,je fundi hawezi kufanya uvivu ili mradi siku ziende au zisogee mbele ili mradi apate fedha nyingi.Unaweza kufanya hivi;
1. Kulipa kwa kutwa bei ya fundi ni 20, 000
Hadi 30,000. Na fundi msaidizi wake ni 10k hadi 15k inategemea ubora na speed ya fundi.
2. Unaweza kulipa kwa tofali bei sh 300 hadi 400
Ungenipa ramani ningekuchambulia bajeti yote;Asante mkuu,lakini hii Kwa siku,je fundi hawezi kufanya uvivu ili mradi siku ziende au zisogee mbele ili mradi apate fedha nyingi.
Je kuhusu kumuuzia Kazi ,kwamba let's kuchimba msingi mpaka kuweka zege na kukamilika labda kiasi kadhaa so unampa advance then akimaliza hiyo stage unammalizia je imekaaje hiyo
Na je kipi Bora Kwa maoni yako mkuu,Kati ya kulipa Kwa siku au kuuza kazi?
Okay asante walau nimepata picha Kwamba kuna idadi Fulani ya tofali Kwa sikuUngenipa ramani ningekuchambulia bajeti yote;
1. Idadi ya tofali
2. Cement
3. Nondo na bei ya kazi utakayopatania
Note: ujenzi wa tofali, tofali za kusimama huwa kutwa fundi anapaswa kujenga sio chini ya tofali 120
Karibu sanaOkay asante walau nimepata picha Kwamba kuna idadi Fulani ya tofali Kwa siku
Sawa baada ya marekebisho nitaangalia uwezekano WA kuipost mkuu
Shukrani Kwa ushirikiano wako
Kweli sisi mafundi tunadharaulika Sana. Eti fundi analipwa 20000 YAANI mmetupangia na bei kabisa.Umesema vyema.
Ikiwa vipi pia anaweza kulipa kwa bei ya tofali moja ni sh 300 hadi 400.
Kutwa ni sh 20,000 hadi 30,000.
Inategemea na ubora na speed ya fundi
Huenda amezungumzia uzoefu mkuu na sio kuwa kuwadharau,huenda hizo ndio bei za mafundi wengi huko mtaani.Kweli sisi mafundi tunadharaulika Sana. Eti fundi analipwa 20000 YAANI mmetupangia na bei kabisa.
na ndivyo wanavyofanya, wala usithubutu hii njia,,je fundi hawezi kufanya uvivu ili mradi siku ziende au zisogee mbele ili mradi apate fedha nyingi.
Asante mkuuna ndivyo wanavyofanya, wala usithubutu hii njia,
ile ya lumpsum ( unaigawa kila kipande cha kazi kikiisha ) ndiyo iko njema
Asante mkuu
Hii niliona kipindi Fulani huko nyuma baada ya kumaliza a level nilipata kazi ya store keeper katika kampuni Fulani,wakati mafundi wanajenga ghorofa niliona haya mambo ya kudelay
Nakubaliana na wewe mkuu kabisaTime Rates Bongo bado sana, utapigwa vibaya sana
Tafuta fundi mzuri. Patana nae kuhusu foundation. Gharama itarange Kati ya 800000 - 1500000 kulingana na eneo. Achana na mafundi njaa watakuharibia nyumba. Gharama hizi ni Kawa mkoa wa dar. Sijui mikoani mafundi wazuri wanalipwaje.Huenda amezungumzia uzoefu mkuu na sio kuwa kuwadharau,huenda hizo ndio bei za mafundi wengi huko mtaani.
Wewe kama hutojali kusema unadhani mnastahili Kulipwa ngapi?
Sawa mkuu umeelewekaTafuta fundi mzuri. Patana nae kuhusu foundation. Gharama itarange Kati ya 800000 - 1500000 kulingana na eneo. Achana na mafundi njaa watakuharibia nyumba. Gharama hizi ni Kawa mkoa wa dar. Sijui mikoani mafundi wazuri wanalipwaje.
Sawa. Site Iko wapi? Ingependeza nifike site nione na mchoro. Hapo nitaweza kutoa quotation sahihiSawa mkuu umeeleweka
Nashukuru Kwa tathimini yako napata picha ya mapatano katika bei
Unaweza nisaidia tathimini pia kupandisha pagale mkuu na kama finishing naweza pata makadirio nitashukuru pia
Kwa hiyo 30k hujaiona umeona 20k tu?Kweli sisi mafundi tunadharaulika Sana. Eti fundi analipwa 20000 YAANI mmetupangia na bei kabisa.