La nn lote hili acha ujinga
Mnyiramba amejenga kagorofa kake kama hiki nimeona mahali
Hongera[emoji847]View attachment 2465657
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utawaweza Watz?Boma la nyumba ya kawaida kwa 30M ni boma la chuma?
Boma la nyumba ya kawaida kwa 30M ni boma la chuma?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We mdanganye mwenzio, afu aje akuachie laana....
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani ilikuwaje mkuu?Hapa kamasi zitakutoka
Mimi yamenikuta na nilikuwa mbishi
Makadilio ya zamani yalikuwa ni 500,000 kwa kila square metre moja, sasa tafuta ramani ita cover eneo la sq.m ngap zidisha kwa hiyo 500,000 japo kwa gharama za siku hizi pigia kwa 650,000 kabisa, kumbuka jinsi unavyojenga jumba kubwa ndivyo itakavyo cost kuimaliza, cha msingi anza tu kwa pesa uliyo nayo, hakuna anae jenga akiwa na pesa kamili. All the bestWana JF habari za muda huu, natumaini wote tuko salama baada ya pilikapilika za Christmas.
Waungwana nimepata hii ramani hapa JF nimeipenda sasa nikaona na mm niitafutie makadirio ya gharama zake panapo majaliwa na mm mwanzoni mwa mwaka nianze ujenzi.
Naomba kujua gharama hadi nyumba inakamilika kuanzia msingi hadi finishing. Kiwanja kipo Kijichi ni 20*20.
View attachment 2461075View attachment 2461076
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiriaji majenzi) kwa anayeitaji huduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165Wakuu naomba ushauri wenu au uchambuzi wenu wa kujua (roughly estimates) gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu yenye ifuatavyo (ukubwa wa 17 kwa 12)
1.master 1 na self 2
2.sitting room
3.dining room
4.jiko na store na public toilet
Gharama ya kwa ujumla (material +ufundi) kuanzia msingi,boma, kupaua, blundering hadi kuezeka bati la royal romantile la alaf, mashimo yachimbwe kabisa na grill ziwekwe. Kabla ya plasta na jamvi. Kwa ujumla itagharimu kama kiasi gani... Naomba msaada wenu kwa ujuzi wenu.. Yaani usiwe na upungufu wa kiasi gani??
mm ni Quantity Surveyor ( mkadiriaji majenzi) kwa anayeitaji huduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165 napatikana Dar es salaam pia nna kampuni ya ujenzi lupama Engineering.Wakuu naomba ushauri wenu au uchambuzi wenu wa kujua (roughly estimates) gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba vitatu yenye ifuatavyo (ukubwa wa 17 kwa 12)
1.master 1 na self 2
2.sitting room
3.dining room
4.jiko na store na public toilet
Gharama ya kwa ujumla (material +ufundi) kuanzia msingi,boma, kupaua, blundering hadi kuezeka bati la royal romantile la alaf, mashimo yachimbwe kabisa na grill ziwekwe. Kabla ya plasta na jamvi. Kwa ujumla itagharimu kama kiasi gani... Naomba msaada wenu kwa ujuzi wenu.. Yaani usiwe na upungufu wa kiasi gani??
Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165Unajuaje kama haiendani na kipato changu mkuu? Kama unafahamu gharama zake niambie ndo nijue sio level yangu ama lah
Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165 pia nachora raman ukiitaji tupo team nzuri utapata kitu kizuri sanaHabari zenu, Naomba kujuzwa rough estimate za kujenga nyumba ya maelezo hayo hapo chini;
1. Ya kisasa kidogo
2. Size: Plot ya 18x25
3. Eneo: Moshono, Arusha (kwa Laizer)
Hitaji:π
* Kupauwa napauwa na Mabati mgongo mpana.
- 1 Master Bedroom
- 2 Bedrooms ( Zote 2 Self Contained)
- Sitting Room
- Open Kitchen + Store
- Dinning
- Public Bathroom + Toilet
π Tafadhali naombeni makadirio ya kuanzia chini hadi nyumba kupauliwa.
NOTE: Natashukuru pia kupendekezewa mchoraji mzuri asiye na gharama... Na Mjenzi kwa maeneo ya Arusha ambye mwaminifu.
π NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU.
Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165 pia nachora raman ukiitaji tupo team nzuri utapata kitu kizuri sanaHabari wadau,
Naomba msaada wa gharama za ujenzi wa nyumba ya vyumba 2(self), sitting room & kitchen.
maeneo ya Mwanza Busweru.
Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165 pia nachora raman ukiitaji tupo team nzuri utapata kitu kizuri sanaKwa wale ambao Wana uzoefu wa ujenzi au kama ni mafundi
Naomba msaada wa kujua gharama za fundi kwenye msingi, kupandisha pagale na mwisho finishing, Kwa kila stage nijue gharama.
Nyumba ni yenye vyumba vinne.
Shukrani.
Kaka habari mm ni mkadiliaji majenzi ( Quantity Surveyor ) nicheki watsap tuongee nikufanyie kaz yako pia licha ya kukadilia garama pia naweza kukujengea tukakubaliana na kukukabidhi nyumba ikiwa imeisha kabisa tayari kwa kuamia kiufupi kwa sasa nipo naendelea na mchakato wa kufungua kampun kabisa nicheki watsap 0753757303/0677400169/0658400165 pia nachora raman ukiitaji tupo team nzuri utapata kitu kizuri sanaNaomba kujua gharama za ujenzi mpaka lenta.
Urefu 18m upana 14mita
vyumba vitatu, kimoja masta, seble choo public na stoo pemben ndogo, Dar es Salaam.
Mkadiliaji > Mkadiriajimm ni Quantity Surveyor ( mkadiliaji majenzi) kwa anayeitaji uduma ya kuandaliwa Boq ya kuonesha garama za ujenzi wa nyumba yake au kwa kuombea mkopo pia kuandaliwa materials ambayo yataonesha nyumba yake inatumia material gan na kias gan na garama kiasi gani pia ata ukitaka kujengewa kwa bei nafuu kabisa bila kusahau kuchorewa raman nzuri na bora nicheki watsap 0753757303 /0677400169/0658400165
Mkuu Hatakama tunatumia ID fake ndio tudanganyane kiasi hiki kweli unazungumzia milioni 150 na uko na A12Mi nakuelewa nimejenga nyumba vyumba vinne mwaka huu ndio namalizia gharama zimepanda sana imefika zaidi ya milioni 150. Watu watabisha ila huo ndio ukweli.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kikubwa umeelewa karibuMkadiliaji > Mkadiriaji
Uduma > Huduma
Gan > Gani
Ata > Hata
Tuko pamoja