Fresh
FRESH FRESHbasi fureshiii
Fresh moja kati ya ngoma bora ya Ngosha plus beat ya dee classicSilverfox kama BARABUU au WANDIBA,
Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA,
FRESH off the boat niko ZANZIBAR,
Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR(CANDIBAR),
FRESH kama pipi ya mint.. pipi ya binti.. au p-p ile P P ya lift,
P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?,
iko weird.. unaweza ingia na wakazuia release..,
Naielewa sana mkuuFresh moja kati ya ngoma bora ya Ngosha plus beat ya dee classic