Uzi Maalumu wa kulike, comment mistari/verse adimu za Rapper FID Q

Uzi Maalumu wa kulike, comment mistari/verse adimu za Rapper FID Q

Unamuita queen na una passion ya kumuona
Simu yake ina pin na password kila kona
Na majina kama Kadabra
Kumbe ni Ibra yani Roma.
 
Kwani machizi wenyew wako wapi ambao wanastahiki niwape vyeo
Inabidi tu niwaache waniwatch kwenye kideo
Utakuwa nao happy Leo
Kesho wanamtaka mkeo
Urafiki sitaki hauletagi maendeleo

Nilitamani niwe mjamaa niwe na genge kama nature
Wachache niliowafanya wakang'aa wanaweka maisha yangu danger
 
Silverfox kama BARABUU au WANDIBA,
Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA,
FRESH off the boat niko ZANZIBAR,
Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR(CANDIBAR),
FRESH kama pipi ya mint.. pipi ya binti.. au p-p ile P P ya lift,
P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?,
iko weird.. unaweza ingia na wakazuia release..,
Fresh moja kati ya ngoma bora ya Ngosha plus beat ya dee classic
 
Umuui chura kwa kumtupa ndani maji ukinizunga laa ,nitakupa facts kwa lugha ya kishkaji
 
kila kicheche anajiona ni mzima,
Na njia pekee ya kuepuka ngoma ni kuogopa kupima,
ikiwa maujuzi hayakuhusu,
Itanilazimu nikuelewe...

kemosabe
 
Nyie petrol mi ni moto, kunizima kwenu ni ndoto.
Moyoni mi ni hardcore, usoni nionenj bishoo.
Hamjui nilipotoka labda hap a nilipo
 
Back
Top Bottom