K kagiye Senior Member Joined Feb 20, 2014 Posts 196 Reaction score 134 Oct 12, 2017 #61 Tusipende kulaumu ikitokea tukubali kwani ajali huchukua ata mwenye tahadhari
gustavolu Senior Member Joined Oct 31, 2016 Posts 199 Reaction score 390 Oct 12, 2017 #62 sista du ukiibiwa moyo usilie mfanye awe ofishoooo kidume atulie mwiibie jina la mwishoooo
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 23,620 Reaction score 52,790 Oct 13, 2017 #63 samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji - Nyimbo ya Ripoti za Mtaani. Stori huisha, maua hunyauka, kumbukumbu husahaulika hii yote inamaanisha hii Dunia tunapita - Nyimbo ya Mwanza Mwanza
samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji - Nyimbo ya Ripoti za Mtaani. Stori huisha, maua hunyauka, kumbukumbu husahaulika hii yote inamaanisha hii Dunia tunapita - Nyimbo ya Mwanza Mwanza