nishafukukwa na ndugu kisa nilisahau kusuuza sahani.
Nikaenda kuishi na washikaji flani, hukl nako sikuwa na amani.
Kwa makosa nitajifunza na sitowasahau
Nibinadamu sijakamilika, kuandika rhymes sikosei
Japo miruzi ni mingi lakini jibwa sipotei
Nitaendelea kua mshindi wa juu kama Jani na record Bongo
Nakutembea kifua mbele utazani nimedundwa ngumi ya mgongo