K kagiye Senior Member Joined Feb 20, 2014 Posts 195 Reaction score 134 Oct 12, 2017 #61 Tusipende kulaumu ikitokea tukubali kwani ajali huchukua ata mwenye tahadhari
gustavolu Senior Member Joined Oct 31, 2016 Posts 199 Reaction score 391 Oct 12, 2017 #62 sista du ukiibiwa moyo usilie mfanye awe ofishoooo kidume atulie mwiibie jina la mwishoooo
Greatest Of All Time Platinum Member Joined Jan 1, 2017 Posts 26,550 Reaction score 62,019 Oct 13, 2017 #63 samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji - Nyimbo ya Ripoti za Mtaani. Stori huisha, maua hunyauka, kumbukumbu husahaulika hii yote inamaanisha hii Dunia tunapita - Nyimbo ya Mwanza Mwanza
samaki ana mengi ya kusema ila mdomoni ana maji - Nyimbo ya Ripoti za Mtaani. Stori huisha, maua hunyauka, kumbukumbu husahaulika hii yote inamaanisha hii Dunia tunapita - Nyimbo ya Mwanza Mwanza