Uzi Maalumu wa kulike, comment mistari/verse adimu za Rapper FID Q

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
553
Reaction score
915
Aliyeniumba alinipa mdomo hivo nna haki ya kuongea...

Hawaamini kwenye kuunda KIBA au DIAMOND wawili, wanachoamini ni kumshusha mmoja ili mmoja awe dili

Usipostuka Afrika unaweza kuzikwa ukiwa hai...

cdd025bfb037c7409be8db86a5ecb7b5.jpg

Maisha hayakupi unapochataka ila yanakupa unachotafuta....
 
Silverfox kama BARABUU au WANDIBA,
Ninaitwa BOSS na nina-ball kama BABANGIDA,
FRESH off the boat niko ZANZIBAR,
Ninai-smell KARAFUU nikiwa na CANDIBAR(CANDIBAR),
FRESH kama pipi ya mint.. pipi ya binti.. au p-p ile P P ya lift,
P ya please au FRESH ya PF3 ya polisi?,
iko weird.. unaweza ingia na wakazuia release..,
 
basi fureshiii
 
Fresh
 
Back
Top Bottom