Uzi Maalumu wa kulike, comment mistari/verse adimu za Rapper FID Q

Uzi Maalumu wa kulike, comment mistari/verse adimu za Rapper FID Q

nishafukukwa na ndugu kisa nilisahau kusuuza sahani.
Nikaenda kuishi na washikaji flani, hukl nako sikuwa na amani.
Kwa makosa nitajifunza na sitowasahau
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Cha kupewa hakishibishi na ukipewa lazima ukumbushwe/ dunia ni mwendo wa ngisi kung'aa sio lazima star ashushwe/
 
Akikupiga ngumi ya jicho nawe mpige ya sikio, akikuuliza unaonaje nawe muulize unajisikiaje?
 
Kushuka tuu ngazi unahema,je kuzipanda hupati uoga?
 
Nibinadamu sijakamilika, kuandika rhymes sikosei
Japo miruzi ni mingi lakini jibwa sipotei
Nitaendelea kua mshindi wa juu kama Jani na record Bongo
Nakutembea kifua mbele utazani nimedundwa ngumi ya mgongo
 
Usmart anavyotinga majumba madinga/
Ya bwana almasi je hizi track za harakati ni ujinga?/
 
Ukishindwa kujiaandaa jiandae kushindwa/
Na mjinga utaachwa unashangaa ukimwona martini kadinda/
 
katikati ya Jana na kesho hapo ndipo Kuna muda
kazi madeni kuzidi malipo mwiko....Mimi ni professional!!
 
Utakuwa mshamba ukikosa mchumba huku beki tatu ni mzuri kuliko watoto wa mama mwenye nyumba.
 
Kuna tofaut kat ya MC na CEO, tambi na minyoo, glasi na kioo, bafu na choo.

Nilishafukuzwa na ndg kwa kosa la kusahau kusuuza sahan, na huko nlikokwenda nako sikua na amani, kwa makosa nkajfunza na sitowasahau aslani
 
Tunajenga tabia kisha tabia zinatujenga
Ukishindwa kujiendeshe ujue mwenyewe tu ulipenda
 
Niliamini mapene hayatoshi..na niki-hustle siyakosi

Sababu.. sipo kwenye loss na life simple huwa hai-cost

Kwahivyo nikaenda Dar na treni... of thoughts..

Sikwenda kuzubaa au kushangaa nikusaka chapaa boss
Sikutaka kuivaa mikosi..nilitaKa kuivaa mikoti

Sikuwa na passport..password.. pin..lakini ni crack codes
Walionisapoti wote siwaoni kwa line

Wakini-approach ili nifungue pochi ya noti tu-shine..hatuko fine/
 
Back
Top Bottom