Uzi maalumu wa kumuambia chochote Lucas mwashambwa

Mi namshauri abadili ID yake hapa JF kama kweli ni jina lake halisi.
Ni aibu kwa kizazi chake kutumikishwa na kutumikia uchawa miaka 10+ pasipo kulambishwa ka-teuzi hata ka uafisa tarafa.

Watoto wake wakikuwa na kuanza kuperuzi JF, itakuwa aibu ya maisha yao yote kujua baba yao alikuwa chawa pro max wa CCM.
 
katika hili wew chawa mbobevu Lucas Mwashambwa unalolote la kusema?
 
Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
mimi huwa najiuliza huyu lucas kweli ubongo wake upo sawa kuna nyuzi za kumsifia samia huwa analeta mpka unajiuliza huyu mtu ana tatizo la akili au nini?
Lucas Mwashambwa wewe kama mtu mzima emu tafta kazi ya kufanya acgana na huu ujinga unaofanya ni Aibu kwa familia yako
 
Lucas mwashambwa hayuko Sawa hata msihangaike nae
 
mimi huwa najiuliza huyu lucas kweli ubongo wake upo sawa kuna nyuzi za kumsifia samia huwa analeta mpka unajiuliza huyu mtu ana tatizo la akili au nini?
Lucas Mwashambwa wewe kama mtu mzima emu tafta kazi ya kufanya acgana na huu ujinga unaofanya ni Aibu kwa familia yako
Mimi ni mkulima mchapakazi na hodari
 
Back
Top Bottom