Umeandika kweli tupu mimi nimesoma nayo pale Mbeya hizi ndio tabia zaoSiwez kushangaa mijitu ya kutoka Mbozi ya hovyo mno.
Yanaongoza kwa uchawa maofisini,unafiki na uchawi.
Ninaandika Kwa uzoefu maana nimeishi nayo.
aah kumbe!Ukim-ignore mtu unachokiandika anakiona ila wewe ndie hauoni anachoandika yeye
Huyu ni mtu wa mbozi??Siwez kushangaa mijitu ya kutoka Mbozi ya hovyo mno.
Yanaongoza kwa uchawa maofisini,unafiki na uchawi.
Ninaandika Kwa uzoefu maana nimeishi nayo.
Paragraph ya mwisho umezingua mkuu futa hiyo tafadhaliBinafsi mimi sina sababu ya kuwatakia heri watetezi wote wa hii serikali dhalimu ya wauaji.
Kama ambavyo ninawaombea vifo hawa wauaji na wadhalimu wanaotutawala kimabavu, vile vile pia mtu kama Lucas Mwashambwa ninamtakia awe na mwaka mbaya aandamwe na mabalaha ya kila aina na hatimae atubu.
Na pia kuna huyu dogo anayejiita Foffana naona na yeye anakuja kwa kasi sana kwenye uchawa, mbaya zaidi umri wake bado ni mdogo sana, ndio kwanza yuko chuo sijui second year.... dogo kwa jinsi unavyotetea wauaji humu na kuwakejeri victims hakika Mungu lazima akupe adhabu kali sana, kwanza utachezea sana sups mwaka huu na hatimae utadisco, halafu tuone huo uchawa utakufikisha wapi.
Akili zake zinafanana na za Pascal MayallaKatika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa