mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Hii imeenda na lazima ikamkune Lucasmwanakujaamavi huyo laana limkute
katika hili wew chawa mbobevu Lucas Mwashambwa unalolote la kusema?Mi namshauri abadili ID yake hapa JF kama kweli ni jina lake halisi.
Ni aibu kwa kizazi chake kutumikishwa na kutumikia uchawa miaka 10+ pasipo kulambishwa ka-teuzi hata ka uafisa tarafa.
Watoto wake wakikuwa na kuanza kuperuzi JF, itakuwa aibu ya maisha yao yote kujua baba yao alikuwa chawa pro max wa CCM.
mimi huwa najiuliza huyu lucas kweli ubongo wake upo sawa kuna nyuzi za kumsifia samia huwa analeta mpka unajiuliza huyu mtu ana tatizo la akili au nini?Katika Uzi huu naomba sote kwa pamoja tumuambie neno ndugu yetu Lucas Mwashambwa .Linaweza kua neno la faraja au lakufedhehesha ila kwa kifupi ujumbe ufike kwa ndugu yetu huyu kulingana na vile utakavowiwa
Ukim-ignore mtu unachokiandika anakiona ila wewe ndie hauoni anachoandika yeyeMi nishamuignore! Hawezi kuiona post yangu!
Mimi ni mkulima mchapakazi na hodarimimi huwa najiuliza huyu lucas kweli ubongo wake upo sawa kuna nyuzi za kumsifia samia huwa analeta mpka unajiuliza huyu mtu ana tatizo la akili au nini?
Lucas Mwashambwa wewe kama mtu mzima emu tafta kazi ya kufanya acgana na huu ujinga unaofanya ni Aibu kwa familia yako
Mme anae,ila watoto sizani...mashoga hawazai ndugu ni kupelekewa moto tu.Kwani ana familia kwl