Uzi maalumu wa kuombana msamaha

Uzi maalumu wa kuombana msamaha

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,336
Reaction score
4,731
Habari wana familia ya JF, unajua kwenye wengi pana mengi, na humu ndani hua watu wanapishna kwa hoja mpaka kujibizana vibaya .

Sasa nimeona nianzishe uzi huu ili kila memba ambaye anajua kwa namna moja ama nyingine amesha mkosea mtu iwe kwa makusudi au kwa bahati mbaya.

Basi ili kujenga familia yenye amani na upendo unaweza "kumtag" na kumuomba msamaha na wewe uliombwa msamaha usikatae, bali uje kukubali suluhu na amani iendelee.
 
Btw hiki ni kitu kizuri ni bora kusahau yaliyopita na kuishi kwa amani.. haina haja ya kubeba mavitu mazito wakati maisha yenyewe mafupi..
Kama nilikukosea niambie tu hapa..
 
Back
Top Bottom