Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

kwanini nisiweze mimi sio wa mcheso mcheso.... I can do what you won't imagine.
Umeanza bit.
Mkuu Johnson Mgaya yuko wapi? Maana long time sijaingia Jukwaani.
 
Huu uzi tunaumizana tu, sasa sijui nielekee jukwaa gani vile...
 
Una mapenzi mpaka shetani anayaogopa in mwana fa's voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…