Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Maandishi murua sana haya we mwanamke.

Kuna wanaume Duniani wana bahati sana yaani unapata mwanamke wa aina ya Dinazarde then Maisha yanataka nini tena hapo? G is super lucky. Yaani ungekuwa wangu kwa hii love vibe yako...I would responds by giving you some gud gud loving yaani.

Nakumbuka napataga mademu majambazi tu yanakula mkopo wangu wa Saccos na kuniachia manyoya...! [emoji23] [emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
Nimecheka hyo Aya ya mkopo wa Saccos[emoji3] [emoji3], utampata tu anayejua uchungu wa mkopo mtaenda sawaa
 
Nilitamani kupata mwanaume anaevutia atakaenivutia, atakaenidekeza, atakenibembeleza, atakaenipa mahaba na kunisahaulisha yaliyopita, furaha Unayonipa ni zaidi ya kila kitu kwangu,nikitembea Naringa navimba kwa furaha, Ukinishika mkono na kiuno na kunivutia kifuani kwako nahisi Kama tupo dunia ya peke yetu,Tabasamu lako sauti yako nzito yenye mikwaruzo nikiisikia tu nahisi usingizi wa Raha ,una hofu ya Mungu, unajali kwenye furaha na huzuni, nimeamini mapenzi hutua popote pale, na unachokiomba kwa Mungu ndicho anachokupa, ambao bado mnahangaika na makurumbembe poleni msichoke kuomba

nakuahidi kukupenda mpaka kufa kwangu, we ni nuru ya Moyo wangu, nakupenda Mme wangu ,G wangu mimi sijui ulikuwaga wapi toka zamani Nakasirika nikifikiria hivi utamu unaonipa nahisi nimechelewa kuupata, sikuachi hata nikute unatomba nakuchukua nakuambia Pole G wangu naenda kukuogesha nakubembeleza ulale nakupa na game zito, Hakuna kuachika
Naona umeshikwa na kupatwa kabisa dina,hongera endelea kumshikilia kwakweli

[emoji253][emoji257][emoji272]
 
Back
Top Bottom