Mfyuuuu niniii kwa mfanoMmmh
Huku si chit chat jamaniiMfyuuuu niniii kwa mfano
Nimecheka kwa sauti halafu usiniulize kwa niniHuku si chit chat jamanii
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ebu waache una nini young lakini unanizibia fursa
Nakuuliza mimiNimecheka kwa sauti halafu usiniulize kwa nini
I'm here B.Missing you 'Mteule'...
mwanaume mwenzangu anaenda kuibiwa hapa.... najua ameshalegea fanya yako...Siwezi kukuambia nini my Eli79!!
Wewe unaujua moyo wangu kuliko mtu mwingine yeyote!!
Waache tu being single inalipa .. ni vile hawajui tu.Watu na mahaba yao
[emoji6]I'm here B.
ndiyo imetosha hivyo?[emoji6]
Jibu lako halikujitosheleza, acha Mteule OG anijibu. .[emoji6][emoji6][emoji6]ndiyo imetosha hivyo?
kwa hiyo kwa namna nyingine umenipiga cha mbavu.?Jibu lako halikujitosheleza, acha Mteule OG anijibu. .[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana siwezi kukufanyia hivyo, unaweza kupindua majeshi.[emoji6][emoji6][emoji6]kwa hiyo kwa namna nyingine umenipiga cha mbavu.?
Le superstar hayo ya pasiwedi ni baadae sana jamanimwanaume mwenzangu anaenda kuibiwa hapa.... najua ameshalegea fanya yako...
anza na Password za bakleyizi superstar.
kwanini nisiweze mimi sio wa mcheso mcheso.... I can do what you won't imagine.[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hapana siwezi kukufanyia hivyo, unaweza kupindua majeshi.[emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji114][emoji114]Najua wewe unaweza sijakata KAKA, nitakupa kazi yakunikabidhi muda ukifika [emoji38][emoji38][emoji38]kwanini nisiweze mimi sio wa mcheso mcheso.... I can do what you won't imagine.
Yes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilitamani kupata mwanaume anaevutia atakaenivutia, atakaenidekeza, atakenibembeleza, atakaenipa mahaba na kunisahaulisha yaliyopita, furaha Unayonipa ni zaidi ya kila kitu kwangu,nikitembea Naringa navimba kwa furaha, Ukinishika mkono na kiuno na kunivutia kifuani kwako nahisi Kama tupo dunia ya peke yetu,Tabasamu lako sauti yako nzito yenye mikwaruzo nikiisikia tu nahisi usingizi wa Raha ,una hofu ya Mungu, unajali kwenye furaha na huzuni, nimeamini mapenzi hutua popote pale, na unachokiomba kwa Mungu ndicho anachokupa, ambao bado mnahangaika na makurumbembe poleni msichoke kuomba
nakuahidi kukupenda mpaka kufa kwangu, we ni nuru ya Moyo wangu, nakupenda Mme wangu ,G wangu mimi sijui ulikuwaga wapi toka zamani Nakasirika nikifikiria hivi utamu unaonipa nahisi nimechelewa kuupata, sikuachi hata nikute unatomba nakuchukua nakuambia Pole G wangu naenda kukuogesha nakubembeleza ulale nakupa na game zito, Hakuna kuachika