Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Uzi Maalumu wa kuonyesha hisia zako

Mzigua taarifa zako ninazo, nimeambiwa ww ni aina ya mwanamke mwenye kila sifa nazohitaji. Ngoja msimu wa pamba ufike nakufata dar na fulushi la pesa.
 
Nilitamani kupata mwanaume anaevutia atakaenivutia, atakaenidekeza, atakenibembeleza, atakaenipa mahaba na kunisahaulisha yaliyopita, furaha Unayonipa ni zaidi ya kila kitu kwangu,nikitembea Naringa navimba kwa furaha, Ukinishika mkono na kiuno na kunivutia kifuani kwako nahisi Kama tupo dunia ya peke yetu,Tabasamu lako sauti yako nzito yenye mikwaruzo nikiisikia tu nahisi usingizi wa Raha ,una hofu ya Mungu, unajali kwenye furaha na huzuni, nimeamini mapenzi hutua popote pale, na unachokiomba kwa Mungu ndicho anachokupa, ambao bado mnahangaika na makurumbembe poleni msichoke kuomba

nakuahidi kukupenda mpaka kufa kwangu, we ni nuru ya Moyo wangu, nakupenda Mme wangu ,G wangu mimi sijui ulikuwaga wapi toka zamani Nakasirika nikifikiria hivi utamu unaonipa nahisi nimechelewa kuupata, sikuachi hata nikute unatomba nakuchukua nakuambia Pole G wangu naenda kukuogesha nakubembeleza ulale nakupa na game zito, Hakuna kuachika
 
Yes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom